bongotech2⁵5🎮🎧🛜
bongotech2⁵5🎮🎧🛜

@Bongotech255

10 Tweets 7 reads Jun 14, 2023
𝗠𝗮𝗮𝗷𝗮𝗯𝘂 𝘆𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝘂𝗹𝗶𝘆𝗼𝗸𝘂𝘄𝗮 𝘂𝘆𝗮𝗷𝘂𝗶 𝗸𝗮𝗯𝗶𝘀𝗮!!!
Wapwa Hivi mnajua simu yako inaweza kukurahisishia kufanya mambo mengi kwa haraka najua wengi walikua hawajui hii.
Najua wengi walikua hawajui hii ngoja niwape maujanja shusha mzigo chini
Kwenye simu Kuna kitu kinaitwa action & Gesture kazi yake ni kukusaidia kukurahisishia kufanya kazi mbalimbali kwenye simu bila kugusa gusa Kila wakati.
Ingia setting kwenye simu yako Kisha >>smart assistant>> utaona action & gesture kama ujaona we tafuta tu Action & Gesture kwenye simu yako.
Je Kuna feature Gani za siri Ebu retweet, likes & follow tujifunze wengi ✌️ sio kamba hii 😃😃
1) Tapping wake
Kazi yake ni kuweka on au off kioo chako kwa kugusa tu kwenye kioo chako
2) flip mute
Ikitokea simu yako inaita mtu kakupigia kwa kunyanyua tu simu utaweza ku mute sauti isitoke bila kugusa batani ya kuzima na kuwasha simu.
3) take screenshot with 3 fingers
Utakua na uwezo wa kupiga screenshot kwenye simu yako kwa kupandisha juu vidole vyako vitatu kwa pamoja ikiwa unahitaji kupiga screenshot picha au kitu mtandaoni.
4) Raise to Ear
Inakupa uwezo wa kupokea simu yako kwa kuweka tu kwenye sikio simu yako inapokelewa bila kugusa button ya kupokea simu.
5) smart screen on
Hii ni feature ambayo ukinua tu simu yako inawaka ila ukiweka chini inajizima utumi nguvu 😁 simple tu we Inua kioo kinawaka ukiweka chini kioo kinazima.
6) answer call
Kupitia kamera ya mbele ikiwa umeweka on ukiweka vidole viwili kama hivi ✌️ simu itaweza kujipokea alafu ukiweka hivi 🖐️ unaweza kata wakati simu inaita bila kugusa simu.
Ulikua unajua hii au ndo tunakujuza Leo tuachie maoni yako vipi umefanikiwa kuweka au lah ?
Tag's washikaji tujifunze sote si unajua Teknolojia ni Yetu sote ✌️

Loading suggestions...