Kabla sijaendelea,
Algorithm ya Instagram/Meta, huwa unabadilika mara kwa mara.
What works today, might not work tomorrow. Ili Sponsored Ad yako ipokolewe vizuri, kuna factors nyingi huwa zinachangia.
Siwezi kuzi mention zote ila unaweza kuzisoma hapa
about.instagram.com

MBINU
1. Fungua Parody Account au Tumia your personal account yako.
Najua unajiuliza we na parody wapi na wapi?
Ila please just TRUST ME ON THIS.
Tunahitaji kutumia Parody ili tuweze KUITEKENYA Algorithm ya Instagram.

2. Anza kuvizia competitors wako
Kwa vile parody account bado ni mbichi, anza kuilazimisha algorithm ya insta ikuonyeshe unachotaka kuona.
How?
- Ingia kwenye Search
-Type jina ya competitors wako au unachokiuza e.g pazia
-Follow accounts 20 tofauti
-Scroll kwenye kila account

3. Like and BOOKMARK
Ukiona bidhaa inafanana na yako iBOOKMARK
Kama unauza mapazia, ingia kwenye pages za home decor, hakikisha una like na ku save ma pazia EXACTLY like yours.
Baada ya hapo, utaanza kuona sponsored Ads za kila ulicho like na ku save.
TUSHAITEKENYA Algorithm!

4. Piga Chabo
Kuna kitu kinaitwa Instagram Ads Library.
Hapa utaona kila mtu ame sponsor posts zipi pamoja na details zote
Utaingia: facebook.com
Na ku copy jina ya kila account iliyofanya sponsored na kuiweka humo.
MFANO huyu, ame sponsor posts 2 tangu tarehe 5.

5. Copy Captions
Angalia caption gani ilileta comments, engagement au likes nyingi alafu copy captions pembeni.
Kisha uandike caption yako inayofanana na captions ulizocopy.
Why?
Utarahisha kazi ya algorithm kujua mteja wako ni nani kutokana na caption kuwa similar na wengine

Always keep in mind,
Algorithm ya Instagram inachokupigania ni kupata a target audience similar na competitors wako.
Ukirahisisha kazi hiyo, utajikuta unatumia pesa ndogo kupata wateja wapya na probability ya kupata wateja wengi ni kubwa zaidi.
Again, Trust me on this.
END!

Loading suggestions...