Umepanga vizuri na mboch, bibi akitoka akushtue ukuje kuchovya asali. Basss, unapiga bibi busu unamwambia leo utakua busy sana kwa meeting so kushika simu ni hadi mida za wanga. Unaingia gari unaenda kupiga seti nyuma ya estate ukingoja huyo komba mwiko ajipe shugli. Ndani ya..
Urwaro makagare inacheza kama bei ya mafuta, kupanda na kushuka tu waiting for horizontal engineering. Unaingia kwa dash unatoa njugu unakula mdogo mdogo ukiskiza maina & kingangi pale @Classic105Kenya coz later on unaenda ku experience good times as you deliver great hits.
Saa mbili inafika no signal, unaskiza kasheshe za kingangi mpaka saa tatu no signal, wanapiga kayamba lakini wewe kanamba hakapigwi. "I swear Alikiba is gonna kill me one day" maina amefunga mitambo signing out with mahaba song, hiyo ni saa nne kamili & no signal yet.
Unasema wacha upigie Bibi umuulize kama alifika job vizuri pengine mboch anaezakua anapokea salamu za chini kwa soja aka kuchorea. Ukipigia bibi unaskia anapumua kama Oburu Odinga akiwa na homa "Halloo mama Liam,ulifika job poa?". Unaskia "ndio napanda stairs,huski vile napumua"
Mashallaah, very fast unaambia Bibi you need to end the call bcoz the meeting is about to start juu ukizuba kidogo utapata wanaume GreatWall wamepita na mzigo yako. GreatWall is an estate where population never changes, every time a girl gets pregnant a guy leaves the estate.
Unapitia kwa chemist very fast kuchukua tools coz those indigenous village managers are very fertile, ata hug inaeza mpea mimba. Also heri kurudi na cd juu umenyimwa kuliko kunyimwa juu hauna cd. Basss, unafuliza moja kwa moja hadi kwa mansion. Ukifika kwa nyumba unakuta
Kitimbua kimeingia mchanga, nyumba yako imegeuzwa kichinjio. Watu ni makasi tu, scissors after scissors. Bibi yako amegeuzwa minced meat, pale ni usagaji tu!! Hauamini kienyeji imepita na mzee pamoja na bibi. "Mama Liam, sikujua Eunice anaitwa stairs pia, kusema ukweli umeipanda"
Mama Liam anaanza kupiga nduru, unamuuluza nduru niya nini na hata hujaanza vita. Anakuuliza mbona umeficha kisu kwa mfuko, wewe unashindwa ni kisu gani. Ukiangalia chini makagare imesimama wima, Inabidi useme wacha basi nirudishe kisu jikoni niwape time mumalize Mambo yenyu.
Ukiwa jikoni mama Liam anakuja mbio kama amepiga magoti akilia. Inabidi umegeuzia bibi juu ukiingiza mboch kwa mix maji inaeza zidi unga juu pia wewe hiyo surwali umenusia mara kadha. Unamuuliza "mama Liam, huna ata huruma kutumia mtoto wa wenyewe vibaya, na ni orphan jameni".
Ukienda kutoa mkono kwa mfuko umpige kofi, CONDOMS inaamua kuji piga introduction, zinaanguka mbele ya mshtakiwa. Unaskia Yakuza "Baba Liam, hizi ni Nini,, Baba Liam mbona huongei,, hizi niza kazi gani,, Baba Liam si umeniambia unaingia mkutano,, Baba Liam, Eunice ndio mkutano?"
"Baba Liam unaenda wapi,, Baba Liam rudi hapa ama nijiuwe,, Baba Liam nitakunywa sumu,, Baba Liam niambie ama nidunge Eunice kisu,, Baba Liam,, Eunice,, Eunice,, Wewe Malaya uko wapi,, Oooh mumehepa wote sindio,, "
Hapo ndio unakuja kugundua kuwa wahenga hawaku tupaka mafuta kwa mgongo wa chupa walipo sema "Ruto must go".😒
Loading suggestions...