bongotech2⁵5🎮🎧🛜
bongotech2⁵5🎮🎧🛜

@Bongotech255

6 Tweets 3 reads Jul 19, 2023
𝗠𝗮𝘂𝗷𝗮𝗻𝗷𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼
💭 Unajua simu yako Kuna mambo mengi unaweza kufanya ambayo ulikua hujui kabisa kama unaweza kufanya kwa urahisi sana.
💭 Unajua Siri au Google assistant ni moja wapo ni ya njia kuipendezesha simu yako 👇
Retweet like & follow
💭 kwa watumiaji wa Simu za android we sema tu "hey Google " Kisha sema maneno yafuatayo pia watumiaji wa iphone mnaweza sema tu "hey Siri "
• Lumos inakusaidia kuweza kuwasha tochi kwenye simu yako bila kuitafuta app au feature ya torch 🔦 Iko wapi.
• Nox inakusaidia kuweza kuzima torch uliyowasha bila kutafuta app yake Iko wapi.
• Assio inakusaidia kufungua program yoyote bila kuigusa mfano unaweza sema tu
" Assio Whatsapp" au "Assio Muslim Pro" au " Assio TikTok " utaweza kufungua program bila kuishika ni program yoyote unayotaka kufungua bila kugusa.
💭 Pia unaweza sema hey Google au hey Siri call my mom itaweza kumpigia simu mama yako au unaweza sema hey Google turn on Dnd nk.
Ebu tuambie vipi umefanikiwa kutumia izi feature words au imekataa tuachie maoni yako ?

Loading suggestions...