bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ
bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

@Bongotech255

8 Tweets 4 reads Jul 22, 2023
๐—จ๐—ป๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—”๐—ฝ๐—ฝ!!
๐Ÿ’ญ Hivi unajua unaweza kuongeza ulinzi wa namba yako Ili kuzuia kutumika hovyo kwenye WhatsApp?
Umeshawahi kuungwa kwenye groups za WhatsApp bila kupenda ?
Uzi ni wako retweet like & follow iwafikie wengi wapwa
๐Ÿ’ญ Ghafla unajikuta uko kwenye ma group ya picha za uchafu, kamari, kubeti nk ila ujapenda kabisa kuungwa kwenye ayo magroup unafanyaje kujilinda ?
๐Ÿ’ญ Kwenye Whatsapp Kuna feature ambayo kazi yake ni kukusaidia kulinda WhatsApp dhidi ya watu wanaopenda kuunga namba za watu wengine kwenye ma group bila ridhaa yao unakuta tu umeungwa.
Usisahau kutembelea page Yetu ya telegram utapata apps, games, software, wallpaper nzuri kwa ajili ya simu pamoja na kompyuta yako ๐Ÿ‘‡
Gusa link jiunge nasi ๐Ÿ–๏ธ
t.me
๐Ÿ•ฏ๏ธJinsi ya kuzuia ni Rahisi sana unachotakiwa kufanya ni hivi fungua WhatsApp yako ๐Ÿ‘‡
- ingia setting kwenye WhatsApp
- Kisha ingia kwenye privacy
- shuka chini utaona Groups fungua.
๐Ÿ•ฏ๏ธHapo utakutana na makundi matatu๐Ÿ‘‡
โ€ข Everyone mtu yeyote anaweza kukuunganisha kwenye group la WhatsApp.
โ€ข My contact watu ambao ume save namba zao na wao wamesave yako wanaweza kukuunganisha kwenye group za WhatsApp bila kujua.
โ€ข my contact except unachagua watu wako kadhaa ambao watakua na uwezo wa kuku add kwenye group za WhatsApp wengine watashindwa.
๐Ÿ’ญ Ukichagua my contact basi kama mtu uja save namba yake akitaka kukuunganisha kwenye group za WhatsApp.
lazima kwanza akuombe ridhaa au akutumie link akuombe ujiunge lakini sio kukuunganisha kimya kimya bila wewe kujua.
Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja zaidi

Loading suggestions...