bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ
bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

@Bongotech255

7 Tweets 7 reads Aug 23, 2023
๐— ๐—ฎ๐˜‚๐—ท๐—ฎ๐—ป๐—ท๐—ฎ ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐˜† ๐˜€๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ
๐Ÿ’ญ Inawezekana katika kutumia tumia simu ukaja kufuta app kwa bahati mbaya kwenye simu yako bila kutarajia ambazo umezipakua na kuinstall kwenye simu utafanyaje kurudisha.
Ata kama umefuta miaka 3 iliyopita uzi ni wako likes & retweet wapwa
๐Ÿ’ญ Ni moja wapo ya changamoto ya watu wengi katika kupunguza punguza app kajikuta amefuta baadhi ya app unajua Usababishwa na vitu Gani ๐Ÿ‘‡
โ€ข inawezekana umefuta app kwa bahati mbaya.
โ€ข inawezekana simu unayotumia imepatwa na virus na kimeliwa na kufutwa bila kutarajia.
โ€ข inawezekana umefanya factory reset umefuta Kila kitu kwenye simu yako.
โ€ข ulikua unahamisha data kwenye simu nyingine umeshindwa kuzipata app zako zote nk.
Sababu ziko nyingi ila hizo baadhi Je utafanyaje kuzipata app zako ulizozifuta hata kama miaka kumi iliyopita๐Ÿ˜Ž
Fungua play store yako
2. Gusa kwenye picha au logo ya email yako Kisha ๐Ÿ‘‡ ingia manage app & device
3. Baada ya hapo ingia kwenye manage Kisha kwenye sehemu iliyoandikwa app installed bonyeza na kuchagua not installed kuona app zako ambazo umeshawahi kuinstall
Hata kama imepita miaka 6 utazikuta tu ๐Ÿ˜Ž
Vip ulikua unajua hii au ndo tunakujuza tuachie maoni yako
Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja zaidi si unajua
Teknolojia ni Yetu sote ๐Ÿ–๏ธ

Loading suggestions...