Okay niliahidi nitasema kitu kuhusu Hojlund .
✍🏻Nafikiri, bado ana room kubwa ya kuimprove , ninachotarajia ni kuona kijana wa miaka 20 at times ku struggle , kuweka mayai yetu yote kwenye kikapu cha kijana wa miaka 20 anahitaji kuwa super exceptional i.e Haaland kwa City

✍🏻He is still raw so sitoshangaa kuona hata mechi kadhaa akiwa benchi na ETH kumtumia Rashford kama number 9 . Kwa saga ya usajili wake nafikiri kijana atawekwa kwenye presha kubwa ya kuwa tiba ya magoli ambayo ndio tatizo letu kuu mpaka sasa
✍🏻Finger crossed aanze kwa kishindo and aendelee hivyo hivyo , i trust ETH kum develop zaidi kuwa one of the best coz the talent is there , his profile is unique one , na hatuna kama hiyo kikosini .
✍🏻I keep in check my expectation kutoka kwake . Hatujasajili a seasonal pro like Harry Kane bali a 20 yrs old from Serie A.
✍🏻Lastly : huu usajili nimeupenda , finally tumesajili mshambuliaji mwenye umri mdogo . Now Euro Milioni 70 itaonekana kubwa rightly so , but given good coaching hopefully ETH will make that money count
Loading suggestions...