#SUPATECH: Watu wengi wamelalamika betri za kompyuta mpakato kusumbua mara baada ya kuinunua (Laptop), sasa kabla hujanunua kompyuta mpakato ni vyema ukafahamu hili.
Mbali na kuangalia vitu vingine kama vile Storage, RAM, Graphics na vinginevyo basi ni vyema ukaangalia uwezo wa betri ya laptop pindi unapotaka kununua.
Sasa unajiuliza nawezaje kuangalia, sawa fanya hivi
Hatua ya kwanza: Bonyeza Window + R
Hatua ya pili: Andika ''CMD'' chini upande wa kushoto kisha bonyeza kitufe cha ''Enter'' ya kisha tokea maandishi ''command prompt''
Hatua ya kwanza: Bonyeza Window + R
Hatua ya pili: Andika ''CMD'' chini upande wa kushoto kisha bonyeza kitufe cha ''Enter'' ya kisha tokea maandishi ''command prompt''
Hatua ya tatu: Andika ''POWER CFG/BATTERY REPORT'' Kwenye maandishi utakayo yaona ''command prompt'' kisha bonyeza ''Enter''
Hatua ya nne: Itatengeneza ''File path'' Ripoti ambayo utachukua link yake pale kwenye (copy) kisha....
Hatua ya nne: Itatengeneza ''File path'' Ripoti ambayo utachukua link yake pale kwenye (copy) kisha....
Hatua ya tano: Utai-paste ile link kwenye ''search engine'' iwe ni ''google chrome'' au ''Microsoft''
Hatua ya sita: Italeta taarifa kuhusu betri ya kompyuta yako, kwa maana ya matumizi yake na ubora ki-ujumla.
#SupaTech #EastAfricaTv #EastAfricaRadio.
Hatua ya sita: Italeta taarifa kuhusu betri ya kompyuta yako, kwa maana ya matumizi yake na ubora ki-ujumla.
#SupaTech #EastAfricaTv #EastAfricaRadio.
Loading suggestions...