8 Tweets 5 reads Aug 12, 2023
Mfanyabiashara au mtoa huduma jifunze kutengeneza QUICK REPLY whatsApp.
UZI ๐Ÿงต
QR ni meseji za haraka ambazo utengenezwa na mtumiaji wa whatsapp bussness hili kujipunguzia kazi ya kuandika meseji kwa maswali yanayoulizwa mara kwa mara kwa biashara/hudama anayotoa.
Endelea..๐Ÿ‘‡
Hapo juu ni mfano wa meseji(QUICK REPLY) ambayo nmetengeneza kumjibu mtu kuhusu wakazi ni nani.
.
Na kwa mtu yyte atakaeniuliza basi ntatumia sekunde 4 kumjibu maana tyr nmeandaa majibu .
.
Endelea kusoma...
Ukitaka kuset quick reply basi lazima uwe unatumia application ya whatsapp bussness.
.
Baada ya hapo utaingia kwenye setting za whatsapp bussness.
.
Utabofya bussness tools.
.
Utaenda eneo la messaging.
.
Utabofya quick reply kutengeneza shortcut na meseji yake.
Itakupeleka kwenye sehemu ya kutengeneza shortcut ya meseji na meseji yenyewe.
.
Sasa shortcut ndio neno utakalo kua unatumi kuitafuta meseji uliotengeneza kule kwenye keyboard.
.
Angalia Mfano mbele
Shortcut nmeweka neno "VIATU".
.
Meseji nmeandika Aina ,size na rangi ya viatu nnavyouza.
.
Mteja akiuliza unauza viatu gani ndani ya sekunde 2 baada ya kufungua meseji yake ntakua nmeshamjibu.
Namna ya kuipata iyo meseji kwenye keyboard lazma uanze na alama ya / alafu andika shortcut.
.
Tazama mfano kwenye picha.
Kwa whatsapp banned nicheki 0684160686 nikurudishie akaunti ๐Ÿ‘‡
Basi unaweza tengeneza meseji zaidi ya moja kwa ajili ya majibu ya maswali unayoulizwa mara kwa mara na wateja whatsapp kupitia application ya whatsapp bussness.

Loading suggestions...