bongotech2⁵5🎮🎧🛜
bongotech2⁵5🎮🎧🛜

@Bongotech255

6 Tweets 18 reads Aug 20, 2023
𝗨𝗺𝗲𝘀𝗮𝗵𝗮𝘂 𝗽𝗮𝘀𝘀𝘄𝗼𝗿𝗱 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗳𝘂𝗻𝗴𝘂𝗹𝗶𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂
Inawezekana katika kutumia tumia simu Kuna siku ukaweka password alafu ukasahau password Yako lakini uhitaji kufuta kitu chochote kwenye simu unafanyaje kuondoa ??
Retweet iwafikie wengi wapwa 😇
Leo nakupa njia ya kufanya kuweza kuondoa password au kubadili password ya kufungulia simu bila kufuta kitu chochote kupitia simu Yako.
Sio kamba hii 😀😀 ndugu really 🚶 usisahau kutu follow @Bongotech255 ili ujifunze mengi
Najua 😀 umeshtuka relax !! Teknolojia ni Yetu sote sio 😇, inaitwa device manager aka find my device ni app inayomilikiwa na Google yenye kufanya kazi mbalimbali kwenye simu kuanzia
- kuifunga simu
- kufuta simu kila Kitu
- kuondoa lock kwenye simu
- kufuatilia simu iluyopotea nk.
Sasa kwenye hii app ikitokea umesahau password ya simu Yako unaweza kubadilisha na kuweka nyingine bila kufuta simu fanya hivi
- chukua simu nyingine au kompyuta ingia kwenye hii tovuti 👇
myaccount.google.com
- weka details zako za Google
- chagua palipo andikwq locked Device
- chagua lock option
- badilisha password weka mpya
Baada ya kumalisha unaweza tumia Sasa hiyo password kuweza kufungua simu Yako bila kufuta kitu chochote kwenye simu.
Ulikua unajua hii au ndo tunakujuza tuachie maoni Yako usisahau kuwa tags washikaji pamoja na ku retweet (repost) iwafikie wengi ✊.
@Bongotech255

Loading suggestions...