Picha ya Kihistoria yenye Somo kubwa katika maisha.
#UZI ๐งต
Hii ni picha ya Kombe la Dunia la mwaka 1986 inawaonyesha Maradona, Pele, na Platini.
Wakati huo, Maradona alikuwa balozi wa kampeni dhidi ya dawa za kulevya,
Platini dhidi ya rushwa, na Pele alikuwa akisimama...๐๐พ

upande wa haki za watoto.
Maisha yakaendelea. Maradona aligeuka kuwa teja wa dawa za kulevya.
Platini alipigwa marufuku kushiriki katika uuongozi wa mpira wa miguu kwa sababu ya rushwa.
Na Pele alikataa kukubali binti yake wa kibaolojia, Sandra Regina Arantes, ambaye alizaliwa

kutokana na mahusiano ya Pele na mfanyakazi wa nyumbani (mwaka 1964).
Arantes alimshtaki Pele, na alishinda kesi hiyo kwa matokeo ya vipimo vya DNA na baadaye aliandika kitabu, "Binti Ambaye Mfalme Hakutaka," kilichoelezea uhusiano wa mama yake.

Vitu viwili muhimu vya kujifunza:
1) Hakuna mtu mkamilifu;
2) Muonekano wa nje unaweza kudanganya.
Muonekano wa nje hauainishi tabia mtu kabisa, bali ni tabia na matendo ndani yake anapokuwa pekee zinazotambulisha uadilifu ambao humfanya kuwa yeye.

(Maneno kutoka kitabu cha Don Henry PUBLIC VALUES)
Shukrani sana kwa kusoma Uzi huu, ukikupendeza tafadhali Repost ufikie na wengine wajifunze.
Usisahau kunifollow kwa Nyuzi zaidi, pia link hapo chini zitakupeleka kwenye Nyuzi nyingine nilizoandika.

Loading suggestions...