๐‘ฉ๐’‚๐’ƒ๐’‚ ๐‘พ๐’‚ ๐‘ฝ๐’Š๐’‹๐’‚๐’๐’‚ ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ|๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ
๐‘ฉ๐’‚๐’ƒ๐’‚ ๐‘พ๐’‚ ๐‘ฝ๐’Š๐’‹๐’‚๐’๐’‚ ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ|๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ

@KamigakikuMbise

16 Tweets 624 reads Sep 11, 2023
UNASUMBULIWA NA WADUDU, NYOKA, KUNGUNI, SISIMIZI, NZI NA WENGINEO?
Usitumie gharama kubwa kutafuta Dawa: Chukua Chumvi, Mafuta ya Taa, na Sabuni ya unga/maji na Fanya Hivi:
#UZI ๐Ÿงต
Kwanza Like alafu Repost tuendelee.
Hiki ni kitu unaweza kufanya mwenyewe nyumbani.
Wengi wametumia pesa nyingi bila mafanikio, kwaajili ya dawa za kuua wadudu. Bila kujua kuwa kuna njia nyingine ambayo unaweza kutumia kuwaondoa wadudu, wale wa kuruka na wanaojaribu kuingia ndani ya nyumba yako.
Njia hii inaweza kuwa na ufanisi na inapatikana nyumbani kwako.
Njia hii ina ufanisi mkubwa, lakini wengi hawaijui, wengi wetu tunatumia Mafuta ya Taa, na wote tunatumia Chumvi, na pia sabuni zipo kila nyumba kwa sababu ni moja ya vitu vinavyotumiwa sana katika familia nyingi.
Sasa fanya hivi; Chukua chombo kisicho na kitu (inaweza kuwa
Chombo cha Peanut Butter au kisado) chukua chumvi, Mafuta ya Taa ยฝ au ยผ, na sabuni yoyote unayopenda, na fuata hatua hizi zifuatazo.
JINSI YA KUCHANGANYA VITU PAMOJA.
Chukua chombo chako, weka chumvi Vijiko 10 vya chai ndani ya chombo, weka sabuni ya unga kama ยผ
au ya buku, weka mafuta ya taa, miminia kisha funika chombo na baada ya hapo changanya vizuri.
Unapotaka kutumia, unaweza kuweka kwenye chupa ya maji alafu ukatoboa tundu dogo kwenye kifuniko cha chupa na umimine taratibu.
Je, anayekusumbua ni nani?
mbu, viroboto, siafu, nzi, mende, kunguni, nyoka, mijusi, wadudu, viumbe wa aina zote, wale wanaojaribu kuingia ndani na wanaoruka? Sasa mwisho wao umefika.
Baada ya kuchanganya vitu vyote, unaweza sasa kuutumia kwenye maeneo yako ili kuua wadudu wanaokusumbua nyumbani kwako.
Tumia kila baada ya siku tatu (3) kuzunguka eneo lako ili kuepuka nyoka na viumbe vyovyote vinavyojaribu kutambaa na kuingia ndani.
Kwa kunguni, tia karibu na sehemu zilizoathirika ikiwa ni pamoja na kona za kitanda na kwenye godoro na utaona matokeo ya mchanganyiko huo.
kwa mbu, tia katika maeneo muhimu kwenye chumba chako kama kwenye kona na acha kwa dakika 20, utulivu utarudi, kwa nzi, tia karibu na sehemu wanazotua, na hutawaona tena.
Shukrani sana kwa kusoma uzi huu, RT na usisahau kunifollow kwa mwengi zaidi.

Loading suggestions...