bongotech2⁵5🎮🎧🛜
bongotech2⁵5🎮🎧🛜

@Bongotech255

9 Tweets 18 reads Sep 13, 2023
𝗞𝘄𝗮𝗻𝗶𝗻𝗶 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗶𝗻𝗮𝗹𝗶𝗽𝘂𝗸𝗮 ??
Watu wengi Bado hawaaamini kama simu wanazomiliki zinaweza kulipuka au kuwaka moto ??
Leo nakujuza yasijekukutokea kama huyu dada 👇👇
Dada mmoja yamemkuta alikua ameweka chaji simu yake ya iphone ila kurudi imelipuka unajua kosa lake lipi ??
🤔
Naam kifaa Chochote kile kinachopitisha moto mfano simu, kompyuta, tablets kinaweza kushika moto na kulipuka.
Kulipuka kwake kunaweza kupeleka mtu kuathilika kwa namna moja au nyingine tulishazungumza sana Sababu zinazopeleka simu kuwaka moto namba Leo tena nawakumbusha👇.
- betri kuwa bovu au kuvimba upelekea simu Yako kulipuka hakikisha simu unayotumia ukiona betri limevimba badilisha.
- kutumia kila chaji , hii watu wengi wanachukulia kawaida lakini ni hatari sana jitahidi kama unatumia chaji hakikisha original sio kila chaji ya kutumia Kwenye simu Yako.
simu kuacha juani au sehemu yenye joto upelekea simu kuwaka moto kwani ufanya simu kupatq sana joto na kupeleka kulipuka.
punguza kutumia simu ikiwa Kwenye chaji utasababisha simu kukulipukia na kukuleta madhara moja wapo kufa , ulemavu hasara nk.
tumia chaji original au sio kila Cha chaji unataka kuweka Usb Yako kuchaji simu utakuja kufa 😁 mbuzi wewe naongeq kwa uchungu sana.
Jambo muhimu zaidi ikiwa simu Yako utaweka mfukoni labda Kwenye suruali au Kwenye maziwa hakikisha sehemu ya betri usielekeze Kwenye paja Yani betri lielekeze nje ikitokea ikilipuka madhara yake ni madogo kwako.

Loading suggestions...