Pleasure Me πŸ¦‹
Pleasure Me πŸ¦‹

@PleasureMe19

20 Tweets 170 reads Oct 01, 2023
MPYA: Ishara 10 za SIRI kuhusu Saikolojia ya Mwanamke Ambazo Hawataki Uzijue
(Ishara namba 5 itakuacha mdomo wazi. . .)
P.s ⚠️ Tafadhali USISOME zaidi ya hapa kama na wewe unataka kuwatumia wanawake. . .
γ€ŠπŸ§΅Uzi wa maselaπŸ‘‡πŸ½. . .》
Umewahi kukutana na mwanamke,
Halafu kila mara ulipomtizama,
Ukakuta na yeye alikuwa anakutizama wa SIRI?
Kama ni ndiyo, basi kuna mawili. . .
1. Either anataka umpe pesa.
2. Pili ni kwamba amekuelewa na anakuhitaji.
Na kama hajifichi anapokutizama,
(Shuka nayo...πŸ‘‡πŸ½)
Basi hapo inabidi ujue kuwa nyota zenu zimeendana...
Kwanini nasema hivyo?
Nasema hivyo kwasababu,
Mara nyingi inakuwaga ngumu sana,
Kujua kama ni kweli mwanamke amekuelewa au la . . .
Mwanamke akikuelewa,
Ukimuangalia machoni utaona jinsi macho yake yanavyong'ara,
.
πŸ‘‡πŸ½
Pamoja na jinsi mboni za macho yake zinavyoongezeka ukubwa,
Mithili ya jinsi vimacho vya mtoto mdogo,
Vinavyoongezeka ukubwa,
Anapoona box kubwa lililojaa chocolate na pipi za kutosha
Ndivyo jinsi ambavyo macho yake yataonekana.
Lakini. . . .
.
πŸ‘‡πŸ½
Utaona ishara kama hiyo,
Endapo wewe utakuwa ndiyo hiyo pipi anayoipenda na inayomvutia machoni . . .
Tofauti na hapo?
My friend, inabidi na wewe ukae kijanja,
Usije ukatumika kama Big G.
Ndani ya sekunde 27 zijazo, utagundua ishara 10 za Siri ambazo hataki uzijue. . .
.
πŸ‘‡πŸ½
1. Ataona aibu kukutizama usoni.
Siyo rahisi mwanamke kuzuia mng'aro,
Pamoja na ongezeko la ukubwa wa mboni za macho yake.
Kwahiyo utakapoona hivyo,
Jua ni ishara kwamba amekuelewa na anataka ujiongeze.
.
πŸ‘‡πŸ½
2. Atakusogelea ili akae karibu yako
Ni ngumu mwanamke kumsogelea na kukaa karibu na mtu asiyemvutia.
Kama unamvutia,
Atafanya kila awezalo ili akae karibu yako
Atakusogelea ili umguse mwili wake,
Halafu ghafla atasogea na kukaa mbali na wewe,
Kama vile hakuna kilichotokea.
3. Atakuwa wakwanza kukaa karibu yako
Ilimradi aweze kuongea na wewe kwa karibu.
Mara nyingine atataka kuwa wa kwanza kukunong'oneza kitu masikioni,
Ili na wewe uwd na ujasiri wa kufanya hivyo.
Hiyo nayo ni ishara nyingine ya SIRI kuwa anakuelewa ila hataki ujue.
.
πŸ‘‡πŸ½
4. She wants to be alone with you.
Either ni chumbani (geto), darasani, ofisini au barabarani mkiwa mnatembea. . .
Mwanamke akikuelewa atafanya kila anachoweza,
Mara nyingine atakataa kuwa na rafiki zake,
Ilimradi ahakikishe kuwa mnakuwa wawili peke yenu.
πŸ‘‡πŸ½
5. Anaona aibu kukutizama
Kitu gani cha kwanza kinakuja akilini mwako,
Unapoona anakutizama mdomoni (kwenye lips) kwa aibu?
Unadhani ni nani atakuwa anamhitaji?
Mimi au Wewe?
Ndiyo hujakosea. . . ni WEWE!
Hapa anatengeneza picha kichwani mwake ya jinsi mtakavyokuwa mnakiss.
6. Atatumia maumbile ya mwili wake kukushawishi
Anajua huwezi kujizuia kumtizama,
Hasa yale maeneo yanayokuvutia zaidi mwilini mwake (mfano kifua, miguu, mapaja)
Kwahiyo ukiona anajaribu kufanya kila awezalo,
ili uone baadhi ya maumbile yake yanayokuvutia jua amekuelewa
πŸ‘‡πŸ½
7. Atajiachia anapokuwa karibu yako.
Umewahi kukaa karibu yake,
Halafu akaanza kukupiga piga magotini wakati akiwa anacheka?
Au amewahi kukushika mikono yako mkiwa mnaongea? (hasa mabegani)
Kama ni ndiyo, basi ngoja na Leo nikuibie Siri nyingine tena. . .
.
πŸ‘‡πŸ½
Huwa ipo hivi:
"Ni ngumu kupita maelezo, mwanamke kugusa mwili wa mwanaume ambaye havutiwi naye"
Habari Njema?
Ukiona hivyo, inabidi ujue amekuelewa. . .
Na anataka aone unajiongeza.
Period!
πŸ‘‡πŸ½
8. Anaongea kwa Sauti ya chini.
Wala huhitaji kuwa na masikio makubwa kama ya tembo,
Ili uweze kutofautisha sauti ya kimahaba na ile ya kawaida.
Sikuzote,
Mwanamke anapoongea na mwanaume anayemhitaji,
Atabadilisha sauti yake ya kawaida na ataongea kwa saiti ya chini...
πŸ‘‡πŸ½
....ile inayofanania na ya mtoto mdogo,
Ambayo inaibua hisia za kimapenzi.
Next time akikupigia simu,
Halafu akawa anaongea kale ka tone kama cha mtoto mdogo,
Basi ujue kuwa anakuelewa na anataka ujiongeze.
.
πŸ‘‡πŸ½
9. Atavaa vizuri.
Kama anakuelewa na akajua kuwa ana nafasi ya kukutana na wewe leo,
Atafanya juhudi zote za ziada ili aonekane mrembo zaidiya kawaida.
Ni kweli inawezekana akawa hapendi make up kabisa,
Ila kama anakuelewa na hujawahi kuonyesha kuwa unamhitaji...πŸ‘‡πŸ½
Usisahau ku 'take note' utakapokuta amepaka make up utapokutana naye,
Hata kama ni kidogo kiasi gani.
πŸ‘‡πŸ½
10. Anakupigia na anakutumia text wa kwanza.
Ukiona hangoji mpaka wewe ndo umpigie au umtext,
Basi ni ishara ya wazi kwamba binti wa watu anakuelewa vibaya mno.
Na anataka aone unajiongeza.
.
πŸ‘‡πŸ½
Anyways, mpaka hapa najua tayari kuna Tips mpya umezipata
Zitakazokusaidia uweze kumsoma na kuelewa saikolojia yake.
Kwanini?
Kwasababu ni ngumu sana kuelewa saikolojia ya mwanamke
Ndiyo maana nimekuibia hizi Tips za Siri ambazo zitakusaidia next time usifanye tena makosa.
Usiache kurepost ili na wengine wajifunze.
Unajua 'Sharing is Caring, right?'
Basi bonyeza follow @PleasureMe19 sasahivi,
Ili na wewe uwe wa kwanza kupata Tips nyingine kama hizi.
Have a Lovely Sunday out there...πŸŽ‰
Take care of yourself πŸ’–
Peace 🌸
©️PleasuremeπŸ¦‹

Loading suggestions...