bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ
bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

@Bongotech255

7 Tweets 5 reads Nov 09, 2023
๐— ๐˜„๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚
Umeshawahi kuiona simu ambayo unaweza kutumia bila kuishika ??
Teknolijia inakwenda Kasi sana kuna kitu kinaitwa Humane Ai pin unakijua ??
Niazime dakika moja tu nikuambie
jinsi simu za android & iphone zitakwenda kufa.
Repost
Likes โฃ๏ธ
Follow โ˜บ๏ธ
Inaitwa Humane AI pin ni teknolijia ambayo inatumia mfumo wa projekta unaweza kuivaa kwa kubandika kwenye nguo yako na kufanya Kazi kama vile simu za mkononi.
Yani smartphone kwa kutumia apps, kupiga simu na kupata msaada wa sauti kupitia mkono au Uso wako.
Imeundwa kwa kutumia akili bandia na mkurugenzi wa zamani wa Apple Mr Imran chaundri na timu yake. Imetumia mifumo tofauti tofauti kuundwa ikiwa na OpenAi Gpt inakupa nguvu ya kufanya au kuuliza chochote kwa njia ya kupiga simu, kutuma message kupitia sauti na mkono.
Chaundri amesema tunaita Pin kwa kuwa ni aina ya kifaa ambacho unakichomeka mahali au unakivaa Wala uhitaji simu au kifaa kingine kukiunganisha.
Nini kilichopo ndani yake ๐Ÿ‘‡
โ€ข unaweza kupokea simu na kuona nani amepiga kupitia mkono wako
โ€ข anatumia akili bandia yenye uwezo wa kujibu maswali yoyote utakayomuuliza
โ€ข anaweza kukupa msaada ikiwa utamuuliza kitu na umekwama mahali labda wapi nitapata mgawaha mzuri kwa ajili ya familia yangu itaweza kukujibu
โ€ข unaweza kutuma Message kwa kumuambia
โ€ข anaweza kubadili sauti yako na kuipeleka lugha yoyote bila mtu mwingine kujua na kuonekana unaongea wewe kwa mfano unaweza kuongea kiswahili ukaonekana unaongea kifaransa, kichina , kimakonde nk.

Loading suggestions...