bongotech2⁵5🎮🎧🛜
bongotech2⁵5🎮🎧🛜

@Bongotech255

4 Tweets 23 reads Nov 13, 2023
Tatizo la Automatic Repair
Hii ni changamoto ambayo watu wengi ukutana nayo kwenye window 10 wanaotumia pC za Dell, HP, Acer changamoto hii usababishwa na mambo kadhaa
- inawezekana Kuna file lime miss au lime corrupt na kuipeleka window kukuletea BOD ya repair
Pia 👇...
- Kuna driver zimeshindwa kufanyiwa update na zime failure na kupeleka kuleta hiyo Error
- pia virus au malware upelekea kukuletea hii changamoto ikiwa Kuna kirusi kimeingia kwenye Kompyuta yako
Na kuhalibu mfumo wa registry.
Suluhisho lake 👇
- toa betri na hard disk Kisha rudisha HDD yako alafu washa direct usiweke betri.
- ikitaa ingia kwenye advanced option Kisha washa kwa bonyeza startup repair
- ikikataa ingia kwenye advanced option tena alafu command prompt kisha andika hizi code.
I
Iki failure kabisa inabidi ufanye installation ya window nyingine kama Kuna data zako muhimu toa HDD Kisha ifanye external kwenye pC nyingine copy ukimaliza piga window
Au wakati unapiga window gawa partition alafu piga window ili kuhifadhi data zako kupotea ✅

Loading suggestions...