Trojan Horse 🎭
Trojan Horse 🎭

@anon_codex

4 Tweets 5 reads Jan 09, 2024
Unataka kujifunza Mobile App Development hujui pakuanzia ?
Kila mtuu ana njia yake ya kujifunza right ? Nataka nikupe njia rahisi ambayo haitokuchosha na ukiweka mdaa wako nakupa 5 months usipojua bac una kichwa cha panzi πŸ˜€
Njia rahisi ya kujifunza kitu chochote kile soma kwanza maana ya kitu flani soma basics vile vitu vyote vya muhimu unavotaka kufahamu na uvielewe ili ukiviona visiwe vigeni kwako
Baada ya hapo utadownload ichi kitabu hapa edu.anarcho-copy.org
Soma elewa vizur jipe muda ata 1 month then fungua visual code anza na hivi vitu kutengeneza
1. Splash Screen
2. Login, Registration etc
Fanya practise mara kwa mara mpaka hapo utakuwa umelewa vitu vingi sanaa na akili imefunguka kwa kias chake

Loading suggestions...