-Huwezi kufanya biashara kama huamini watu, biashara ni watu na watu ni kuaminiana
-Huwezi kukaa unalalamika kupoteza milioni, watu wanapoteza mabilioni, na hawaCatch feelings
-Biashara ni vita, hurakiwi kuShow weakness, muda wowote kaza tu hata kipindi cha hasara

-Chuo tunasoma entrepreneurship, lkn cha kushangaza lecturer hana hata bustani, ndio maana kitaa watu wana-bet sana
-Waliokuwa wanategemea ajira sasa hivi wanastruggle sababu ni kuwa wahuni wamesepa na keki ya taifa
-Kama huna elimu ya fedha utasota vibaya sana nakuhakikishia

-Mikopo ni kama panga, unaweza kutumia panga positively kukata mti ama negatively kumkata mtu
-Hata uwe smart kiasi gani, biashara lazima ujifunze kwa kukosea, ila je unakoseaje?
-Unaweza kupata ajira ila bado ukadumbukia shimoni kama huna elimu ya fedha. Ajira si kuchomekea tu

-Umeajiriwa, ndio kwanza una mwaka m1, hata hujanunua kijiko, unataka kuanza kusaidia watu. Unajiumiza!
-Watu waliojiriwa vision yao ni moja tu, kujenga. Na kujenga sio uwekezaji, unatoa pesa ila huingizi faida, mwishoe unadidimia
-Mikopo mingi ni kausha damu. JITATHMINI

-Ajira ni sehemu ya kukupa mtaji, ila si sehemu ya kuishi maisha ya ndoto zako
-Ground mambo ni magumu, haiangalii elimu yako, mtaa hauhitaji papara hata uwe na moto kiasi gani usiwe na papara
-Huwezi kumaliza matatizo ya ndugu zako, kama wao walishindwa, wewe utawezaje?

-Ishi maisha halisi, acha kuFake, sio unakurupuka kununua gari, mwishoe mnapokezana siku gani wewe utembee na siku gani gari itembee
-Relax, usikimbilie kujenga, siku mambo yakibuma huwezi kula nyumba
-Tupe bars, dondosha bars, hakuna msanii anayeikimbia mic🎙

-Sisi wanaume hatuna option, lazima ukubali kuumia na kusimama mwenyewe ktk kila kitu
-Wazee wakiona kijana anakuwa successful watafanya kila liwezekanalo kumshusha. Yani mchawi sio lazima aruke.
Mambo ni mengi, siwezi ku-summarize kila, ila leo pia kuanzia saa 12 tutaendeleađź’Ş

Loading suggestions...