17 tweets 83 reads Mar 08, 2024
TUMIA SIMU YAKO KUANDIKA CV 📱
.
Tuanze na Resume Bulder App, CV maker.
.
Ukishajifunza kutumia tengeneza CV yako ,fanya mazoezi tumia kupiga pesa.
.
Repost🔄
.
Like✔
.
Bookmark📑
Inapatikana play store.
.
Download /Install
.
Open kuanza
Sifa zake
.
Inauwezo wa kutengeneza na kuhifadhi CV zaidi ya moja
.
Inasehemu ya kutengeneza Cover letter.
.
Ina Templates nyingi za CV
.
Ni free 😀📌
.
Endelea kusoma namna inavyotumika 👇📝
Ukiifungua bofya neno create kisha itakuleta kwenye kujaza taarifa.
Utaanza na person Details.
Jaza kulingana na maelezo kutoka kwenye App.
Mfano Name : Matata kipepeo Jungu
Phone :+25560603030
Address :MZA, TZ
Kuna details nyngine ni optional, kama sehemu ya picha ila pia kuna option ya kuongeza detail nyingine kama Jinsia, mwaka wakuzaliwa kwenye kitufe cha ku add +
Hakikisha unabofya kitufe cha Save kuendelea.
.
Ukisave itakurudisha mwanzo kuchagu kipengele kingine cha kujaza.
.
Bofya Education /Elimu
.
Jaza kama application inavyokuelekeza.
.
Mfano jina la shule/chuo uliposoma.
.
Kumbuka kuanza na elimu ya juu na utabofya kitufe cha add kuongeza education background nyingine
.
Kisha bofya save ukimaliza
.
Tazama mfano 👇
Bofya kipengele cha experience /uzoefu wa kazi.
.
Hapa utaza sehemu uliowahi kufanya kazi/Nafasi/muda(tarehe) pamoja na maelezo ya majukukumu ya kazi
.
Endelea chini kuna mfano 👇
Mfano wa kipengele cha experience kilichojazwa.
Bofya skills/ujuzi kuendelea
.
Jaza ujuzi kisha upe rate kutotka 1-5
.
Namba moja ikimaanisha ujuzi kwa kiasi kidogo, huku 5 kiasi kikubwa.
Bofya Objective.
.
Andika objective vizuri maana hii ni part itakayotokea mwanzo mwa CV yako.
.
Tazama mfano nilivyozaza na itakavyotokea
Bofya references kujaza referees wako.
.
Tazama mfano kwenye picha chini.
.
Ukimaliza save.
Pia unaweza ukaongeza taarifa kama, interests, projects, awards na zaidi
.
Ukimaliza kujaza taarifa muhimu, chini kuna sehemu imeandikwa view CV bofya hapo
Itakupeleka sehemu ya kuchagua templates unazotaka kutumia kwe muonekano wa cv yako kisha ukichagua itagenarate PDF ya CV yako
.
Itakupa option ya kushare au kudownload
Mfano wa CV niliyotumia dakika kumi na tano kuitengeneza kupitia hii app
Mfano wa cover letter 🔤 kama nilivyosema app hii pia inaweza kutengeneza barua
Acha comment kama umejifunza kitu.
Kwa wale mnaohitaji kuandikiwa Official CV kwa MS word au Canva Templates nichek dm 📝📌

Report this thread