Judith Mwanri
Judith Mwanri

@mwanriquee

41 Tweets 4 reads May 01, 2024
AIRBNB: LATIFA ANATENGENEZA $1,200 KWA MWEZI BILA NYUMBA
Binti ni mdogo sana,atakuwa wa 95 yule. Nimemfundisha mimi hii biashara na wakati anaanza hakuwa na matumaini.
Nikamwambia utaweza,coz unanguvu ya ushawishi sana.Umeweza kunishawishi nikakufundisha BURE😀hushindwi lolote
Kwanza kabisa, mimi sio motivational speaker. Kila kitu ninachokiongea mtandaoni, nakifanya & nashauri watu.
Pinned tweet yangu inaofisi tunapangisha @Hamiahapa,kwa sasa zipo 3 na zimejaa.
Airbnb nafanya full time,ninazo 3
Mikocheni airbnb.com
@Hamiahapa Private room in Kijitonyama (new)
airbnb.com
Private room in Mikocheni
airbnb.com
Occupancy yangu inatoka corporate bookings(40%),Travel & Tour operators(20%),Airbnb(20%),Booking(20%).
Bookings zingine napata from staff wa Top Restaurants in town😀
@Hamiahapa Back to Latifa, so huyu Dada nilikutana naye kwenye boti ya Zanzibar Dec last year nilivyoenda family holiday.
She was not okay mentally.Kuna mambo personal yalikuwa yanamsumbua & ikamuathiri kazini,akafukuzwa
Alikuwa anakuja Dar kufanya kazi za ndani,ana degree👀
@Hamiahapa Nikamwambia dear, nitakufundusha biashara ya Airbnb ambayo naijua ila nataka uendelee na kazi uliyopata ili uwe na akiba.
Akauliza ndio nini,nikamwambia ni makazi ya muda mfupi kwa wageni.Akajibu "Kaka yangu anakuwaga na wageni sana, yeye dereva wa Noah kwetu Znz"
Nikamwamb...
@Hamiahapa ..nikamwambia sasa hapo ndio pa kuanzia. Kaka yako wale wageni wakiwa wanakuja DSM - ongea nao uwapatie sehemu ya kulala.
Nitakulink na wenye Airbnb. Akaguna kwanza😁nikamtell usiogope.Ishu ikawa hana smartphone & kule kazi zinambana.
Nikamwambia nenda Watu au Y9 kopa simu uje.
@Hamiahapa nikamuonesha Airbnb nilizonazo mkononi, jumla kwa wakati ule ni 33.
Nikamtell hapa zangu ni 3 tu, zingine nalipwa per booking.
Yani pesa ikiingia, sisi kama hosts tunakatwa 3% then the other 97% inakuja kwetu kwa jinsi tulivyokubaliana.
Rates zangu ni 5-20% depending,
Video👇🏾
@Hamiahapa Nikaona macho yake yamewaka🤑mimi pia mtu akinielezea dili la pesa naona kabisa pesa hii, there is a way my eyes light up-watu wanaonijua can tell
mfano siku hii nilikutana na rafiki yangu,tukawa tunaongelea pesa. Macho yangu yaliwaka sana.
Kuna excitement flani ivi Latifa had
@Hamiahapa and nikajua, huyu mwanamke anakiu & ataiweza hii biashara.
So we used to meet mtaani alipokuwa anafanya kazi za ndani. She sneaks some 10 mins tunajadili things then anarudi ndani-kama wiki ivi.
Kuna siku akanipigia simu kuwa Kaka yake anatafutia wageni sehemu ya kulala.Nikam..
@Hamiahapa I told hery offer still stands, 10% commission per night for kila mgeni.
Ile kazi ilienda poa,kila mtu akalipwa including her Bro. Sikuingine akanipigia kuwa wale wageni wamempa wageni wengine ila yeye hana muda anaomba nidili nao.
Nikawalaza kwenye Airbnb ya mtu maana bajeti..
@Hamiahapa ..yao ndogo.Sasa kuna siku kama January mwishoni, akanipigia kuwa kalipwa mshahara na anataka kutoroka.
Nikamtell, aga achana nao vizuri maana sisi ni binadamu & tunakutana. Akakubali, akaaga wakamwambia akae wiki hadi apatikane mwingine. Nikamshauri asubir
👇🏾by @blackmellanin
@Hamiahapa @blackmellanin Latifa akasubiri. Alikuwa na akiba ya 230k mshahara na commissions zile.
Akachukua room 50k sinza uzuri,she was full time in this job. I connected her na wahudumu wa some top restaurants & hotels in Dar where napataga wageni.
Mimi naspend muda hizo places so wahudumu nimewa...
@Hamiahapa @blackmellanin Top restaurants, cafès, hotels in Town, Peninsula & Mikocheni, Mbezi beach.
Akawa anapata wageni wazungu, anakula commission zake & anawalinda wale wahudumu.
Serena👇🏾
@Hamiahapa @blackmellanin Mchaga mimi nikienda kwenye hotel/restaubar as an Airbnb owner I observe ni wateja gani wanakuja hapa.
Mf. Levant ni turkish/lebanese,Limzone palm village ni Chinese, zingine nyingi ni west europeans
I always tip wahudumu then nachukua namba, nachat nampa dili😀
Delta hotel👇🏾
Kama umefika mpaka hapa na huelewi Airbnb ni nini, naomba upitie hii video yangu hapa.
TULIA, SOMA & FANYA.
Pesa hii hapa🤑
youtube.com
sasa pesa ya ukweli alianza kuipata alivyoongeza hizi huduma 10:
- Souvenir
- Fridge Items
- Rental of gymn & beach clothes
- Laundry & Chef services
- Airport Shuttle
- Theme nights
- Portable Wi-Fi rental
-Car/Bike/Scooter rental
- Concierge
- Short daily trips
Tatizo ham...
..hampo kwenye channel yetu ya Telegram. Kule natoa madini FREE, na 1st June I will start to charge.
Mnanilazimisha nitumie WhatsApp, tatizo la hiyo app ni akijoin mtu mpya hawezi kuona msg za nyuma.
Anyway ninayoenda kuyasema hapa utabaki mdomo wazi😁
t.me
-Souvenir ni zawadi mtu ananunua ili akirudi kwao imkumbushe kuwa alikuwa katika nchi flani.
Mimi kabati langu kama hili lipo kwenye Airbnb yangu moja.Nimeweka t-shirt za hakuna matata,mashuka ya kimasai,shanga za culture,begi za kimasai,kahawa,chai&wine made in 🇹🇿 nauzia wageni
unaona kibegi icho? unaweza kuvishona bei chee elfu 15 kwa fundi. Unawauzia $30-$50 wazungu wanapenda sana wamasai aisee
Beach boys,rastafarians,tour guides wanajua ilo. Nunua kariakoo bei chee uza kwa $$
Latifa aliweka hii kwenye Airbnb ya mtu m1. Feb alimake $170 kwa hii tu😁
Fridge items.
Huwa nashangaaga watu wanaofanya Airbnb na hawauzi vitu vya fridge. Unapoteza pesa!!weka:
-soda,mineral water
-chocolates,biscuit
-wine,cold coffee,milk
-pringles,crips
-Wine,Champagne
Usiache iyo💶apeleke supermarket.Put price mlango wa fridge,maji mpe bure
3. Beach & Gymn rental outfits & equipment
Wakijaga huku wanaachaga vifaa & nguo zao. Sijui wanadhani ni jungle tu au wanajaza mabegi wanakosa nafasi😁
Latifa anawakodishia $10, anahakikisha zipo clean all times,anafua kwa dry cleaner
$50 hakosi hapa, Fridge napo $50 ingine
Kwenye Airbnb, mgeni akiingia anakuta mashine ya kufulia. Ila kuna wale wavivu au hawataki tu.
Pia anaweza kujipikia mwenyewe jikoni ila kuna wale wanataka waandaliwe.
Andaa price list yako,muwekee mgeni kwenye bedside table/mlangoni.
Mtu wako wa usafi au mpishi awahudumie..
Mimi hii pesa nawaachia wahudumu wangu. 5k kuandaliwa chai, 10k kupikiwa simple food, 20k for complex food like seafood.
Kuna huduma ya concierge (google it),kumtuma mtu dukani,kufuatiwa groceries hii pia wanalipa buku 1 au 2 kwa my staff. No free lunch
5.Airport Shuttle
Kikubwa unakuwa na gari au madereva wako wa Uber/Bolt wanaoongea english,waweze kuongea nae
Kumpick mteja ni $20-$30 for upto 4, wakizidi inabidi ucheki Noah,bei ya mteja $50
Akifika unampa driver 15/20k au Noah 70k depend na distance
6. Theme nights
J5: dance night wapeleke sehemu ya cultural dance
Alj: African food, wapeleke sehemu mpange chef awafundishe how to cook msosi wa 🇹🇿
Iju: Art night mpange @nias_nyalada awape sip & paint
Jmoc: Bird watching or grill night
J2: heena or ukili night
Wanalipia $30/p
@nias_nyalada Kama haupo Facebook hii biashara hauwezi kupata wateja. Wageni/wazungu wanatumia Fb kusoma reviews kuhusu nchi flani kabla hawajaja
Hawapo Insta,TikTok au Youtube.
Kuna groups nyingi Fb utawapa.
Kuna Dada mmoja anaipatia sana hii, mcheki Fb (Sairis)
facebook.com
@nias_nyalada Mpange atakayewapa huduma hiyo, akupe gharama zake afu plan trip nzima itakuwaj:
Usafiri,
Kula &Vinywaji,
Faida yako,
Ukihitaji,tafuta msaidizi wa kupiga picha au kuendesha gari esp kama group linazidi watu 6
Facebook kuna groups nyingi,nimezitaja apa👇🏾
t.me
@nias_nyalada 7. Portable Wi-Fi
ujue wageni wakikaa muda mfupi hawanunui line ya simu. Wana-hop from Wi-Fi to Wi-Fi at cafès, hotels, your Airbnb.
Sasa ukimpa haka, unakuwa umempatia sana. Latifa alinunua kwa huyu Kaka, anafanya $5 kwa siku anavyo 10 kwa sasa😁
@nias_nyalada Ngoja nikwambie kitu, vitu vya bure havijawahi kumsaidia mtu.
Ukiambiwa njoo ufundishwe biashara hii na wakongwe unajifanya ohh wewe unataka kula pesa zetu😁
Ivi kweli umesoma chuo ada 800k-1+ mil na huna kazi, au kazi ya maana. Nakuambia toa hela ufundishwe unaona unaibiwa?🤣
@nias_nyalada Chuo chako ndio kimekuibia au wewe ndio umejiibia muda wako kwa kupata maarifa ambayo hayakusaidii
Latifa kasoma IFM kama wewe ila gamba lake la Insurance kaliweka pembeni ameona akomae na wageni.
Very soon anafungua kampuni ya travel & tours, leo tumeongea hilo😁
@nias_nyalada 8. Car/Bike/Scooter rental
Unawakodishia hivi, kama unavyo ni vyema zaidi. Kama huna tafuta makampuni yanayo-rent then unaweka cha juu.
Anaweza kukodi aendeshe yeye au na dereva. Kama anaendesha yeye basi akupe copy ya temporary driving licence😅
ila hii Latifa hajaanza bado
@nias_nyalada 9. Concierge
Nimeielezea hapo juu kidogo ila let me expound on it
Check Fb uyu dada anafanya Masaki kwa foreigners
facebook.com
Unaweza kufanya housekeeping service hata kwa Airbnb hosts pia, supply of: sabuni,miswaki,toothpaste,toilet papers,candles,flowers etc.
@nias_nyalada Kama hawa, wapo Zanzibar. Sasa utakachofanya ni kuwacheki ujue price zao mpaka mzigo unafika DSM.
Tafuta soko kwa Airbnb hosts, weka margin yako - unatoboa.
samahospitality.co.tz
Guest Supplies:
Shampoo
Conditioner
Bath Gel
Shaving Kit
Dental Kit
Soap
Sewing Kit
etc.
@nias_nyalada 10. Short daily trips
-Bongoyo
-Bagamoyo
-Mbudya
-Panya & Sinda Island
-Pugu hills
Kwaiyo wewe huwa unaendaga kula bata & kuvizia madem tu?😅pole
This can be your side gig. Na hapa ndio Latifa anapopiga hela sasa.
Analaza $600-$800,kaanza juzi chini ya usimamizi wangu 🤑
si kweli 😁@Grosvenor_MB ?
@nias_nyalada Huwa sifundishi bure kabisa, in very rare chances nafundisha wanawake ambao wanapitia changamoto sababu nimewahi kupitia shida pia.
Huduma zangu zipo hapa,jaza form nitakuhudumia & uta-book calendar yangu
bit.ly
Utakayojifunza ni haya👇🏾
bit.ly
@nias_nyalada Kuna njia 8 za kuanza Airbnb, pitia hapa👇🏾
@nias_nyalada Kuna vijana wanafanya vyema sana kwenye short trips, mfano huyu 😀
youtu.be
... For TOURS - EVENTS - TRAVEL .... *Book Us Today* via: _+255 763 725 802_ or _info@bongoplan.com_... #BongoPlan #Vacation #Destinations #Safari #Holidays #Tours #Beach
Nina materials nyingi za bure, pitia hapa👇🏾

Loading suggestions...