Mfalme 👑🇹🇿
Mfalme 👑🇹🇿

@MfalmewaX

12 Tweets 64 reads May 02, 2024
AINA 4 ZA WANAUME;
1. NICE GUY
2. BAD BOYS
3. REAL MAN
4. ALPHA MAN
👇👇
1. NICE GUY
Huyu ni mwanaume anayejitoa, anayegharamia, kipaumbele chake ni mwanamke, yupo radhi ahairishe hata kazi kwa sababu mwanamke, yupo radhi waende out, alipie kila kitu cha mwanamke ili apendwe.
Hawa ndio wanaishia kuweka "friendzone", wanaishia kufanywa marafiki tu.
Hawa huwa wanasubiria miujiza wakubaliwe au waanze kupendwa, bro it won't happen na Ikitokea basi umeshapigika vya kutosha na kuliwa sana.
Mfano umebeti milioni 10 halafu unashinda laki.
2. BAD BOYS
Hawa ndio wanaume wako busy na mambo yao tu, wakikutana na mwanamke wanawekeza kidogo halafu wanajiachia.
Hawa wanawekeza kwa muda mfupi wakishapata sex anasepa, hawatumii muda hovyo wala rasilimali hovyo ili kumfurahisha mwanamke.
Hawa ni wahuni, bodaboda, marasta man, masela, au washikaji fulani lowkey.
Hawa wanapendwa na wanawake, hii ni list ambayo kila mwanamke anaipenda ndio maana unakuta pisi kalii halafu jamaa anayeishi hata haeleweki
Bad boys hawana mahusiano rasmi, wanawake wanapenda, why?
Wanawake wanapenda attention ila hawapendi mizigo ya kihisia, hawapendi mwanaume anayemtegemea sana kihisia unakuwa kama mzigo kwake, hapa ndio bad boys wana shinda.
Wao hawana shida na mahusiano yakija poa yasipokuja poa kabisa.
Hawaendeshwi na pussy wala hisia, wanajua act.
3. REAL MAN
Hahahaha "hapo kwanza nicheke",
Mwanaume wa kweli!?? Nilishaandika mwanzo hili jina halitakiwi kwa mwanaume yeyote.
Kauli yeyote ya mwanamke ambayo itaanza "real man au mwanaume wa kweli anafanya hivi" ziba masikio anachokisema ni upuuzi mkuu.
Hawa ni feminist.
Real man au mwanaume wa kweli ni yule mwanaume anayetakiwa ajishushe, na akubaliane na ujinga wote wa mwanamke even disrespect
Utasikia "mwanaume wa hawezi kumuacha mke mwema akicheat kwa bahati mbaya, real man hatakiwi kunifuatilia, ataniruhusu kwenda klabu, blaa blaa"
Maana fupi ya mwanaume wa kweli au real ni weak man (mwanaume dhaifu), kama umeshawahi kuitwa hivyo left group wewe sio mwanaume.
Ni bonge la sifa kinoma hasa kama ni simp na dick driven.
Ukiona unaitwa real man umeshawekewa vikwazo vya kumuongoza mwanamke au mahusiano yako.
4. ALPHA MALE
Huyu ni mwanaume ambaye hapendi ujinga, hata kama hana hela ila hapendi kupelekeshwa, hapendi kuwa driven na chochote sio mahusiano wala mwanamke.
Siku zote yuko busy na mambo yako, hapendi watu wengi ila anapenda kuwa na watu muhimu tu.
Hajichanganyi hovyo
Hawa ndio wanaochukiwa na wanawake walioharibikiwa na wakorofi nikimaanisha feminist,
Hawa ndio wenye nguvu ya ku extract feminine energy kwa mwanamke yeyote hata tomboy.
Hawa wanapendwa na wanawake ambao hawajaharibika hata wanawake wanaotaka kubadilisha tabia zao.
Hawa wanaume huwa na maamuzi magumu ambayo ukiwa dhaifu hufanyi, anaweza asiwe na hela ila ukimletea dharau kwa sababu ya chakula chako cha bure atashinda njaa.
Hata akiwa masikini, hapendi ujinga ujinga na mkali bado utakuta kuwa wanawake wanampenda TU 👇
Mwanamke akitaka mahusiano anatafuta alpha kwa sababu anajua kuna uhakika wa maisha hata kama no dalili.
1. Tufollow @ommyfitness
2. Jiulize upo namba ngapi kisha repost iwafikie wanaume wengi & Hifadhi bookmark kujikumbusha
Jiunge nasi Telegram
t.me

Loading suggestions...