Rafiki yangu @Shabashycrypto alizungumzia principle ya 80/20 akimaanisha asilimia 20 za kazi zinaleta 80% ya matokeo
Ili utengeneze pesa nzur hii principle ni muhimu sana kuizingatia
Kuchagua pair moja kunakufanya uweke akili zako zote hapo hivyo ni rahisi kulevel up
Ili utengeneze pesa nzur hii principle ni muhimu sana kuizingatia
Kuchagua pair moja kunakufanya uweke akili zako zote hapo hivyo ni rahisi kulevel up
@Shabashycrypto Lakini pia mfumo huu utakusaidia sana kuepukana na loss zinazofatana mfano kwenye hizo result apo juu yes kuna mda nimepata loss kwasababu ya kuwahi kuingia lakini baada ya loss nakuwa nshajua wapi nimekosea so ni rahisi kurekebisha makosa in the next trade
@Shabashycrypto Ukiangalia pia apo utagundua losses zinakaribiana
Since narisk 1% kila trade ni rahisi kujicontrol vzur sokoni mfano nna sheria ambayo inasema kama nikipoteza 2% my week is done
Hii sheria inanisaidia sana na inakuwa ngumu mno kuipoteza account kizembe

@Shabashycrypto Ndani ya wiki mbili nimechukua trade 10 na kati ya hizo trade 10 nimewin trade 5 tuu na nimepoteza 5 lakini Wins ni kubwa ambazo ni 3:1 au 4:1
So tayar nimejikagua nimejua kwamba the first 10 trades nimepata win rate ya 50% ambayo ni nzur mnooo
So tayar nimejikagua nimejua kwamba the first 10 trades nimepata win rate ya 50% ambayo ni nzur mnooo
@Shabashycrypto Hiyo 50% imemake profit ya 7000$ ndani ya mwezi mmoja sawa na zaid ya millioni 18 za kitanzania
Na hiyo ndio nguvu ya KNOWLEDGE na RISK MANAGEMENT
Na hiyo ndio nguvu ya KNOWLEDGE na RISK MANAGEMENT
@Shabashycrypto You can do this too
Tafuta ni wapi utaiweka FOCUS yako and then watch God do the rest
Tafuta ni wapi utaiweka FOCUS yako and then watch God do the rest
Loading suggestions...