Magnetics (MG)
Magnetics (MG)

@ThisIsMagnetics

6 Tweets Jul 10, 2024
UMRI WA MWANAMKE NA TITLE YAKE KULINGANA NA VIGEZO VYA MTAANI NA MEMES ZA MITANDAONI.
18 - 20 = Huyu ni babygirl 😻,anaanza kudate na kuwa girlfriend wa mtu.
21 - 23 = Huu ni umri wa kwenda next level kama Engagement, Ndoa na kuanzisha familia. πŸ’žπŸ”πŸ’
#Thread
24 - 26 = Kama bado hajaolewa huyu huitwa mwanamke mpweke πŸ’” (Single ni miaka 18 mpaka 23 tu) ukikutana naye kaa nae kwa akili. Ana vidonda ambavyo havijapona vya maEX. Wengi wapo bitter sana πŸ’”
27 - 29 = Hawa ndio mashangazi 😍❀️lovely, Kidogo wamekubali ukweli wanaume ni umbwa na hapa wameanza kujitafuta kivyao na kutotegemea wanaume, wameanza kujipata . Baadhi wanakua na nyege za hapa na pale, game yako ikiwa nzuri utafaidi mema ya nchi. Hapa unaweza kuvibe vizuri.
30 - 37= Hawa ni mashangazi Pro Max. 3rd floor contena jipya πŸ₯°πŸ˜. Hawa wengi wameshajipata completely, Unamkuta tayari ni single mother na junior yupo middle school, babydaddy wake ashajua alimess up sasa anajirudisha rudisha. Wako matured zaidi kuliko kundi lingine lolote hapo;
juu na wana uzoefu wa kutosha. Baadhi yao wako bitter ila penda ua na Boga lake.
38 - and above = Hawa ndio masugarmummy πŸ˜‹πŸ€€, Ndoto ya kila kijana jobless. Hapa kuna divorced women, Widow women na Ndoa zilizokosa utulivu. Jitahidi ujue yupo kundi gani ili ujiposition vizuri.
NB: Hii ni kwa mujibu wa standard za mitandaoni na imeandaliwa kwa ajili ya vijana wa kiume tu.
Asante

Loading suggestions...