Ulimwengu wa Roho/Spiritual realm ndio chanzo au asili ya mambo yote tunayoona yakidhihirika mwilini.
Iwe ni mazuri (baraka) au mabaya (laana) kwenye maisha ya mtu au watu chanzo chake ni rohoni.
Kwa nini ninasema hayo? Lazima mtu ujiulize chanzo cha haya yanayonitokea ni nini? na lini nitapata ukombozi kamilifu toka kwenye tatizo au matatizo yanayonikumba?
Kuelewa chanzo na uhalisi wa kitu kinakupa urahisi wa kulitatua tatizo kwa ukamilifu na kwa uhalali ili kumaliza madhara yaliyojitokeza na kuzuia mengine ambayo yangetokea kutokana na roho au tabia fulani.
Lakini pia hukupa uhalali wa kutafuta, kupata na kudai baraka zako au za uzao wako unazopaswa kuzipata katika maisha yenu.
Asili ya ulimwengu wa Roho.
Uhalali/legitimacy.
Mambo yote yanayotokea kwenye maisha ya mtu au watu yana uhalali kwa aliyekusudiwa.
Angalia familia, ukoo au boma lenu linaandamwa na nini? Panakuwa na mtiririko rasmi wa mambo mazuri au mabaya yanayowatokea watu jamii moja.
Kuna nini kinakupa uhalali wa kupata hayo mema (utajiri,afya njema, elimu bora, familia bora yenye ustawi na maelewano na maisha marefu).
Au mabaya (magonjwa, faraka na ibu za ndoa, ugomvi, umasikini ulitopea na kushindwa kielimu).

Uhalali wa mambo mazuri unatokana na kutenda mazuri kwa Mungu au kuwa mwaminifu kwa shetani pia.
Vile vile uhalali wa mambo mabaya hutokana na kukiuka miiko na mapatano ya maagano yaliyowekwa awali, kurithi jina, laana za familia, kukataliwa au kujikataa mwenyewe na kuabudu ushirikina.
Siri/secret operating
Ulimwengu wa roho unaendesha mambo yake kwa Siri na Mafumbo sana.
Mwenye uwezo wa kutambua hayo ndiye anayeshinda kabisa kwenye ulimwengu wa damu na nyama.
Ni muhimu kujua siri ya baraka zako au matatizo unayokumbana nayo.
Wakati mwingine unaweza kujiona upo sahihi ukichunguza mwenendo wako, la hasha! kumbe matatizo au tatizo lako limeletwa na mtu au watu waliopita katika maisha yako.
Kuwa makini sana na mwenza (mume au mke), marafiki, majirani na ndugu.
Wanaweza kuwa anguko au inuko lako kutokana na roho walizobeba. Chuma Hunoa Chuma.
Mfano Soma 2Samweli 21:1-9 na Yoshua 9 yote kuna funzo utalipata.
Madhara yanaweza kukupata hata kama wewe hukutenda mabaya kama wazazi wako walikuwa kama Sauli.
Kuna nguvu katika maagano. Maagano yana viapo, matamko na madhara yanayoendana na kukiuka maagano.

Ole wako unayechukulia poa maagano unayofanya na wengine hakika utalipa kwa njia moja ama nyingine.
Iwe katika ndoa au kazini tunza kiapo chako, Ukikiuka tu kuna madhara utayapata mwenyewe au uzao wako.
Jitahidi kujua siri ya tatizo lako na si kukimbilia kwa wasaidizi wa kiroho wa uongo watakuokuengezea mzigo wa matatizo.
Mwombe Mungu wa kweli akujulishe siri ya matatizo yako.
Lakini kwa wale wenye kumbukumbu za kifamilia fatilia ujue umepataje hayo mema isije kuwa umeyapata kwa kuwatenda wengine mabaya ikawa chanzo cha shida kwa uzao wako baadaye.
Ni ulimwengu wa mbadilishano
Maisha ya mwanadamu katika kila kitu kina mbadilishano.
Naamanisha utatenda hili upate lile, Hakuna kinachokuja bure na kila upande mwema au mbaya huvutia kwake kwa sera nzuri lakini zenye masharti ya mficho ndani yake.
Tumeumbiwa free will katika kufanya maamuzi, amua leo unataka mema au mabaya? Amua nani unayetaka kumtumikia? Mungu ama shetani maana wote ni roho.
Maamuzi yako ndiyo yatakayoainisha ni nini kikupate baadaye na usije ukajidanganya huko utakapochagua kuenenda ndipo utapata malipo yake.

Umeamua kupata vitu kwa uhalali pasipo dhuluma wala manung'uniko hakika utapata mema yadumuyo.
Lakini unatafuta kwa dhuluma, ushirikina, kutumia mwili wako isivyo halali au kwa ushawishi wa pesa ama zawadi ndiyo yapo mafanikio ya muda mfupi yenye kilio kwako au kwa wengine.
Unatoa nini upate nini? Kama nilivyosema unaburudisha mwili leo lakini unazoa roho au mapepo yanaweza kukudhuru mwenyewe afya ya mwili na akili pia na uchumi.
Je, unatumia nyezo gani katika mbadilishano?
Moyo wako, pesa, kuiba nyota za watu, uchawi, kumwaga damu za watu nk.
Jiulize mwisho wa hayo yote unayoyafanya yanakupa amani ya moyo na ungependa utendewe hivyo kupata mafanikio au kutatua shida zako?
Ninachoamini dhambi husameheka lakini madhara yake je? Vipi kwa wengine wasiojua baba au mama alitoa nini apate nini?
La msingi ni kusimama katika haki na kujichunguza mara kwa mara kwa mara tunavyoenenda ili tusiache vilio kwa vizazi vyetu.
Utavuna ukichopanda, kama sio wewe basi uzao wako, Lakini Mavuno mabaya ya wazazi wetu yasizuie kuotesha fikira, mawazo na mitazamo mipya kama mbegu bora zinayoweza kuzaa matunda mema katika jamii zetu.

Karibu kwenye darasa la Meditation ujifunze na kujua mambo mbalimbali kukuhusu.
Utajifunza namna Meditation inavyo badilisha maisha yako ndani ya muda mfupi na kuongeza uelewa wako wa ndani.
Njoo Inbox nikupe utaratibu wa kujiunga na darasa hili la kipekee.
.
. x.com

Loading suggestions...