Threads
⚡️Story kutoka kijiwe cha HACKERS/WADUKUZI Leo tutapita na story za jamaa ambaye alikuwa white hacker. White hacker ni mdukuzi ambaye anafanya udukuzi wa faida na sio kinyume na...
⚡️Kuna vile vichwa vya habari huwa vinasema “Tumia TikTok kutengeneza mpaka $900 kwa mwezi” Au tumia AI kujipatia mkwanja. Sio uongo unaweza kutengeneza pesa, ila sijui kama ni k...
⚡️Roboti ya China iitwayo “ROBOT CHEMIST” imepata njia ya KUTENGENEZA OXYGEN huko Mars. Na inasemekana ingemchukua binadamu miaka 2,000 kufikia hatua hii angefanya yeye mwenyewe....
⚡️Matumizi ya VPN na Ufahamu iwapo SERIKALI na Mtoa huduma wako wanajua kwamba unatumia VPN. Tukitaka kuongelea VPN inabidi tuanzie mbali ili kuelewa nini haswa tunaongelea na umu...
⚡️Usichojua Mtanzania kuhusu X (Twitter) Creators Payouts Mtandao wa kijamii ni nini? Haraka haraka mtu atasema kwanini tuulize hili swali na mwingine atajibu kwamba ni mitandao...
⚡️Unajua kwamba kuna muda ukitafuta kitu google unatangaza namba yako ya simu, location pamoja na email? Bahati mbaya hii sio kitu unaweza kuona na kutambua kwa urahisi. Hii kitu...
⚡5G Inastahili Sifa na Hype Inayopewa? Na Inafanya Vipi Kazi? Tangu kutangazwa kwake 5G imepata attention kubwa sana na kampuni za mitandao zote wanatamani kuwa nayo ili kuvutia w...
⚡️Renewed Vs Refurbished: Wengine wanasema Newly condition. Yana maana gani haya maneno? Ukisikia @NjiwaFLow anasema chapati za dubai. Anaongelea zile simu zilizotoka Dubai. Ukip...
⚡️Google Chrome pop ups, malware & ads zinazojaza Notifications zako zinakera sana. Unaweza kuwa umekaa zako ukaona uwashe data upate notifications za whatsApp au twitter, alafu z...
⚡ Maumivu ya 0kb Malware Niliposoma computer kidato cha kwanza niliambiwa kuna aina kuu 3 za malware. Kuna; Virus, Trojan na Spyware. Malware ni program ambayo inaingia kwenye P...
⚡Zinapofeli Biashara za mtandaoni Kuna umuhimu wa biashara kuwa na uwepo Mtandaoni, lakini umuhimu huu unapotea pale unapotangaza biashara mtandaoni ila unachelewa kufanya Mawasil...
⚡ Programming language za kujifunza kulingana na field za software developers Hapa nitakuandikia aina ya kazi (field) na language unazotakiwa kufahamu ili kufanya hizo kazi. 🧵 ht...