جمعة يحيى محمد
Mwalimu wa Lugha ya Kiarabu | Content Creator أستاذ اللغة العربية | صانع المحتوى
View on 𝕏Threads
• Thamani ya nyumba sio ukubwa wake, bali hisia na mapenzi yanayopatikana ndani ya nyumba hiyo. • Endapo nyumba ikiwa imebana (hakuna amani ndani yake), hata dunia iwe pana kiasi g...
🔴 {Na tukamjaalia Musa awakatae wanyonyeshaji wote...} Surah Al-Qaswaswi: 12. • Nabii Musa (عليه السلام) alihisi njaa, na kilio chake kilisikika kwenye Kasri lote. • Bi. Asiya anam...
🔴{Na wakaja kwa baba yao usiku wakilia}. Surat Yusuf: 16. • Usifanye haraka kwenye kutoa hukumu. • Wala usiwe mwepesi wa kumwonea mtu huruma. • Mara nyingi watu waliodhulumu huvaa...
🔴{Sisi tumewagawia kati yao maisha yao...} Al-Zukhruf: 32. • Usitamani maisha ya watu. Wewe unayajua yale waliyopewa, lakini huyajui mambo waliyonyimwa. Jalada la kitabu kitu kingi...
Kuwa pamoja na yule ambaye atahisi fahari uwepo wako, ataku-miss utapokuwa mbali nae na atauchunga moyo wako. Kwa sababu watu waaminifu hazikauki chemchem za upendo wao wa dhati kw...
Kuna mtu huondoka na kukuacha baada ya kuisha maslahi, mwingine huondoka baada ya kumpata mtu atayechukua nafasi yako, na mwingine huondoka wakati anapojua kuwa unamuhitaji. Wote h...
✍️Amani iwe juu yako ewe rafiki yangu, • Hakika vitu ambavyo unakutana navyo ghafla huenda vikawa vizuri na bora zaidi kuliko vitu ambavyo wewe unatoka na kwenda kuvitafuta. • Ulik...
Unaweza kumiliki kila unachotaka kwa kuwadhulumu watu, lakini Dua moja ya aliyedhulumiwa inaweza kuteketeza mali zako zote. Hakuna mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi kumbukumbu k...
Watu ni kama milima. Wanajiolojia wanasema kwamba; Kile ambacho kinadhihiri kwenye mlima ni theluthi yake tu, kuna theluthi mbili zimebaki zimefichwa ndani yake. Hali kama hiyo ndi...
Lugha ya Kiarabu: • Al-Qithaa الْقِثَّاءُ 👉 Tango. https://t.co/Wol5PsOfje
✍️Amani iwe juu yako ewe rafiki yangu, • Hakika mimi nakuombea kinga kwa Mwenyezi Mungu mitihani yako isidumu kwa muda mrefu, ili usije kuchukia • Au faraja kuwa mbali, ikawa sabab...
✍️Amani iwe juu yako ewe rafiki yangu • Profesa mmoja aliyekuwa akifundisha chuo kikuu, alikuwa akivaa saa ya kike. Na walikuwa wanafunzi wake wakimfanyia masihara • Hadi ikafika s...