🔴{Na wakaja kwa baba yao usiku wakilia}. Surat Yusuf: 16.
• Usifanye haraka kwenye kutoa hukumu.
• Wala usiwe mwepesi wa kumwonea mtu huruma.
• Mara nyingi watu waliodhulumu huvaa mavazi ya watu waliodhulumiwa.
• Na watu pindi wanapoelezea stori zao, ima watakuwa ⬇️

mabingwa wa uongo au watakuwa wahanga wa kweli.
• Wasaliti wana maneno matamu pindi wanapozungumzia uaminifu.
• Wezi wanaongea kwa ufasaha zaidi pindi wanapozungumza kuhusu kutunza amana.
📌Na nyuma ya nyuso ambazo hazina hatia, huenda kuna mioyo michafu imejificha.

🔴{وَجَاءُوا أَبَاهُمْ عِشَاءً يَبْكُونَ}سورة يوسف: ١٦
• فلا تتسرّعْ في إصدار الأحكام،
• ولا تتعجّلْ في إبداء التعاطف،
• كثيراً ما يلبسُ الظالمون ثياب المظلومين،
• والنَّاسُ حين يَرْوُونَ قصصهم فهم إمّا أبطالٌ أو ضحايا.⬇️

• الغادرون يُجيدون الحديث عن الوفاء،
• واللصوصُ أبلغ ما يكونون حين يتحدّثون عن الأمانة،
📌وخلفَ الوجوه البريئة قد تختبىءُ القلوب القذرة.

Loading suggestions...