P'site Shio
Website designer, Founder at Kinange Company, Passionate graphics design & crypto educator, make your first $ online
View on πThreads
Ijue biashara ya Playstation (PS) inavyowaingizia Watanzania mamillion ya pesa. Gonga LIKE.ππ https://t.co/Lb9UmvKEyj
Nimefanya research Miaka 10 nimegundua salon ya kiume inalipa kuliko ya kike. Nimekuwa manager miaka 6 chini ya salon zote 2 na Kila mwisho wa mwaka nilingundua salon ya kiume ime...
Jinsi nilivyoteng'eneza zaidi ya $2300 ikiwa ni zaidi ya Tsh 6,121,500/= ndani ya siku 7, mwezi November. Naam! Ni zaidi ya million 6 pesa taslimu za Kitanzania. Ukiwa na smartph...
Ingiza mpaka $500 Kwa mwezi kwenye platform la remote jobs kama remeotask liitwalo Oneforma. Kwa namna gani? Gonga LIKE Shuka na π§΅π https://t.co/gQW3iiYBCQ
Acha mara Moja kutumia free VPN Kwa kuingia nazo telegram Badala yake tumia proxy nimekuwekea hapa Bure na settings Gonga LIKE na repost πππ https://t.co/8xNmCZ0SuL
Jinsi ya kuunda paypal na kuredeem visa from NIO part 1. Like & Repost pia follow @Psiteshio1 kwa madini zaidi. Part 2 ipo kwenye comment..... https://t.co/YeJcCNGIhV
Jifunze Canva for FREE kwenye hii Video, Full Video. Naomba REPOST na comment neno PREMIUM kupata premium account.
Ijue platform ya uTest ambayo unaweza Unda mpaka $10k Kwa kuanza na TSH 0. Hakuna kulia Lia tena kama yatima Gonga LIKE Kisha shuka na Uzi https://t.co/NMfWJ1X45v
Zijue Apps 32 Za KUFANYA Online Surveys Ukiwa Na Bundles + Smartphone. Tumia simu Yako vizuri, Kesho utalia. Gonga LIKE..... Thread π§΅ https://t.co/7jJGpMLjrL
Anza Kulipwa Mpaka $10k Ukiwa Na 0Tshs Kwa Kufanya Online Tasks Mbalimbali. Repost kabla hujalia baadae.ππ https://t.co/9HmSwSBgSl
Fursa, biashara na miradi 152 za kufanya Kwa watu wenye MITAJI Nimeandika Kwa kiswahili. Gonga repost. ππ https://t.co/allBPo7yj5
Biashara 19 za KUANZA kufanya pasipo mtaji wowote, Soma Uzi huu na uniambie kwanini Bado unaisingizia Serikali? Gonga LIKE ππππππ https://t.co/cJs3dTIbtu