P'site Shio
P'site Shio

@Psiteshio1

26 Tweets 25 reads Feb 06, 2024
Anza Kulipwa Mpaka $10k Ukiwa Na 0Tshs Kwa Kufanya Online Tasks Mbalimbali.
Repost kabla hujalia baadae.πŸ‘‡πŸ‘‡
Ndugu Mtanzania, naenda kueleza Kwa kina shughuli zote 19 Moja baada ya nyingine za kufanya Kwa watu wasio na MITAji.
Leo nitaanza na 1 ambayo ni kufanya online tasks....
Ndio vitu gani? Kwanini? Zinapatikana wapi? Nalipwaje?
Najua maswali hayo unajiuliza, twende kazi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Kuna vitu unaweza kufanya online na ukalipwa bila kuwa na hata 0tshs kama una bundles na smartphone na shughuli hizo ni kama
β€’ Testing
β€’ Surveys
β€’ Research
β€’ Focus Groups
β€’ Interviews
β€’ Case studies
β€’ Experiments
β€’ Micro tasks
β€’ Writing
Na nyingine nyingi...
#Ad
Je, unahitaji kujifunza crypto currencies? Full courses? Kwa kiswahili?Basi wakati ndio huu, Follow @Psiteshio1 Kisha hapo kwenye profile yangu Kuna pinned post Kwa maelezo zaidi.
Sasa nimetaja shughuli ambazo unaweza zifanya ni nyingi lakini tuanze kuichambua Moja Kwa kina,
Tuanze na ya kwanza Testing, unaweza uka complete tests mbalimbali na kulipwa.... Unaweza kutest vitu kama
β€’ Website
β€’ Apps
β€’ Voice assistance
β€’ Streaming services
Na vitu
Vingine mbalimbali na kulipwa pesa nyingi. Sasa na hapa kwenye kutest hivyo vitu Kuna aina tofauti tofauti za websites ambazo unaweza zitumia kama
β€’ Utest
β€’ User Testing
β€’ TryMyUI
β€’ WhatUsersDo
β€’ Enroll
β€’ Geekflare
Na nyingi nyingi, Leo tuone Moja ambayo ni Utest.
Utest ni platform ni platform inayowakutanisha testers wa vitu mbalimbali kama nilivyotaja hapo juu
Ambao kazi yao ni kutrain na kutafuta bugs mbalimbali Kwa kutest
β€’ Websites
β€’ Apps
β€’ Games
β€’ Software
Na wakati huohuo unajifunza mambo mapya😊😊😊
Platform hii ya Utest ni duniani kote na Kila mtu anaweza kujiunga hata kama huna skills zozote.
Kwasababu Kuna kazi nyingi ndani yake zinahitaji kufanywa na mtu wa aina yeyote
Sasa tuanze na namna ya kufungua account, njia za kupokea malipo, kufanya tests nk
1. Registration
Unaweza jisajili sasa hivi Kwa kubonyeza hapa utest.com na kufuata steps zifuatazo.
Bonyeza JOIN NOW Kisha utafollow steps za kujisajili....
Weka location kawaida tu ya mkoa uliopo.... Follow @Psiteshio1
Weka zip code.
Watu wengi hawajui zip code ni Nini? Google Tanzania/mkoa uliopo zip codes na utaziona nyingi.
Ukimaliza usajili Kwa kubonyeza link utakayotumiwa Kwa email
Basi utaiona dashboard Yako Iko hivi, unaweza tumia kifaa chochote kujisajili iwe simu, tablet au laptop
Hapo Kuna vitu 4 vya kumalizia kukamilisha profile Yako ikiwemo payment method
2. Payment method
Hii ni njia ambayo utalipwa ukimaliza kufanya tests mbalimbali.
β€’ PayPal
β€’ Payoneer
Njia ni hizo mbili tu, Kwa mahitaji ya PayPal nitakupatia Kwa $19.99 tu badadala ya $29.99 Leo hii
Weka PayPal email Yako hapo tayari Kwa kupokea malipo
Ukiwa hapo Kwa dashboard, kushoto bonyeza projects, utaona projects zote zilizo active....
Huku unatakiwa uapply kazi, kwenye hizo projects unaweza ku apply na kusubiri invitation kama umekidhi vigezo
huenda project inataka watu wenye iphone tu, ndio maana Kuna application
Mimi nimeingia zaidi ya $10k ni zaidi ya 25M za kitanzania hapo Utest.
Unaweza kuona mfano wa malipo kwenye screenshot hapo na jina langu😊😊 usije sema ni mboyoyooo
Sasa join Whatsapp channel mbioo Kwa mafunzo haya Bure Kwa Njia ya video whatsapp.com
Repost pia...
Naomba nielezee Kwa kina kuhusu Utest Kwa miaka 7 niliyofanya kazi hapo.
Kwanza Utest ni legit site, na ndio number 1 Duniani Kwa kufanya testing
Tests nyingi Huwa ni za simu au web functional
Ukishakuwa approved unaweza tests apps mbalimbali kama Amazon, Google, Microsoft nk
Na kwenye hizo apps unaenda kutest Nini? Unaenda kutafuta kitu kinaitwa Bugs, sasa bugs ni Nini?
Bugs kwenye app ni makosa au errors zinazotokea pale app haifanyi kazi vizuri
Mfano wa bugs ni kama:
β€’ Crush Bugs - unashangaa app inajifunga tu......
β€’ Functional bugs - hizi ni bugs za ndani ya app, mfano unakuta ukibonyeza button ya send na haifanyi kazi
Visual Bugs - hizi zinatokana na mwonekano wa app, labda text maandishi yake ni Madogo sana
Na nyingine nyingi, ukigundua mojawapo umelamba Lolo 😊😊😊
Kama upo seriously unaweza Unda pesa nyingi hapo ndani na ukaacha kuajiriwa kama Mimi.
Hii community ni nzuri, unakutana na testers kutoka Duniani kote mnashare ideas Kwa pamoja
Kuna kazi nyingine ni za kupiga picha, unatumiwa ukapige picha sehemu tofauti tofauti....
Je, ni kiasi gani unaweza ingiza pale Utest?
Hii inategemeana na test ambazo utakuwa unafanya, location, vifaa na pia utaalamu wako...
Naongelea utaalamu wa kufanya tests, kama ndio unaanza itabidi u focus na Kila project utakayoalikwa
Pia kujifunza kutoka Kwa testers wengine
Kumbuka: Utest wanalipa Kwa test cycle na sio Kwa lisaa au Kwa siku.
Na malipo yanategemea vitu 4:
β€’ Idadi ya testers wanaohitajika
β€’ Muda wa kuamlizika test
β€’ Idadi ya test cycles
β€’ Ugumu wa test husika
Kwahiyo....
Tips za Utest, uweze kupata pesa nzuri.
β€’ Complete profile Yako.
β€’ Shiriki kwenye community zao
β€’ Endelea kuongeza skills za kutest
β€’ Fanya test ndani ya muda
β€’ Toa feedback nzuri
β€’ Jifunze (Kuna mafunzo ndani ya Utest)
β€’ Badili devices pale ndani ya Utest often....
Ndugu Mtanzania, unaweza fanya tests ukiwa Tanzania.
Lakini pia unaweza kufanya tests za USA na Europe ambazo Huwa zinalipa vizuri zaidi.
Jinsi unavyoafanya tests, unapata ratings ambazo zitakusaidia kupata invitations za projects nyingi zaidi
Zingatia profile....
Changamoto za Utest
β€’ Ushindani - ushindani ni mkubwa, na muda mwingine unakuta test inahitaji watu 40-60
β€’ Unaweza pata stress 😬 ukishindwa kupata bugs
Unaweza Unda pesa muzuri tu kama $200-500 Kwa mwezi
Lakini kufikia level hiyo unahitaji ufanye kazi kubwa....
Unaweza Anza ku earn kidogo, Asante sana sijaweza ongelea mambo yote.
Kuna mambo mengi hapo ndani nitaeleza Kwa njia ya video step by step pale Whatsapp channel!!
Upo interested? Bonyeza hii link kujoin
whatsapp.com
Na tuanze kupiga pesa.
Kwa mahitaji ya Logo, posters, websites, usisite kuwasiliana nasi Whatsapp 0623322998.

Loading suggestions...