๐•๐•’๐•ฅ๐• ๐•ค๐•™๐•’โœช

๐•๐•’๐•ฅ๐• ๐•ค๐•™๐•’โœช

@RM_Yatosha

โ—‹Just a reminder that a social media is not a real lifeโœŒ๐Ÿฟ

Joined Aug 2021
15
Threads
0
views
16.2K
Followers
62.7K
Tweets

Threads

SINTOSAHAU๐Ÿ’” Story Threads ๐Ÿฟ Kwenye maisha kila mtu anatukio lake ambalo hawezi lisahau aidha liwe zuri au baya. Mimi lishawahai nikuta jambo ambalo siwezi lisahau Maisha yang...

PENZI LA DHARULA โค Story Threads ๐Ÿงต Kwenye maisha muda mwengine tunajikuta tukiwapenda au tukiingia kwenye mahusiano na watu ambao hatukuwadhania au kutarajia kama Tungeku...

MAPENZI KONYO ๐Ÿ’”๐Ÿ˜‚๐Ÿšฎ Story Threads ๐Ÿงต Je! Ushawahi kumpenda mtu alafu hakuzichukilia kwa Userious Hisia zako kama wewe ulivyohisi juu yake? Basi mimi yashawahi nikuta Mk...

๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐——๐—”๐—ก๐——๐—œ๐—” ๐— ๐—ง๐—จ๐— ๐—•๐—ช๐—œ ๐—ช๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—•๐—ช๐—˜๐—ก๐—š๐—ข๐Ÿ’”๐Ÿคฃ Story Threads ๐Ÿงต (1/2) Unajua vijana bana tumejawa na tamaa sana. Tunapenda kutafuta urahisi wa maisha ili mradi tu! kupata unafuu kwa kutaf...

"KILICHO NIPONZA NI SHILINGI 500"๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Ep 03 (FINAL)โœŒ๐Ÿฟ. #TUNAENDELEA...Nikiwa nimevimba nikimsubiri Baba yake Mensah kwenye sebule ile iliyojaa mapambo ya Gharama. Mda wote nilikua...

"KILICHO NIPONZA NI TSH 500" ๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ EP 2 #TUNAENDELEA...๐Ÿ‘‡ ***Ilikua mida ya saa 12 jioni. Na sasa ndo ulikua muda wangu wakurudi nyumbani. Nilifunga ofisi nakuanza kutembea k...

"KILICHO NIPONZA NI SHILINGI 500"๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Ilikua Arusha April 4, mwaka 2016. Niliamka nikiwa na vibe siku hiyo kama unavyojua siku hazifanani sometimes unaamka mood off sometimes una...

"๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐——๐—” ๐—ž๐—จ๐—” ๐— ๐—Ÿ๐—˜๐—ฉ๐—œ " Ep 6 (FINAL) #TulipoishiaIbra alikua na hasira sana https://t.co/wa89oJE4ch

"๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐——๐—” ๐—ž๐—จ๐—” ๐— ๐—Ÿ๐—˜๐—ฉ๐—œ " Ep (5/6) **Asubuhi ilipofika Ibra alienda kuwachukua wazazi wa Rose na kuwapeleka Hospital wakamuone mtoto wao. Wazazi walipo fika hospital hawakuamini yule...

"๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐——๐—” ๐—ž๐—จ๐—” ๐— ๐—Ÿ๐—˜๐—ฉ๐—œ " Ep 4 #Tulipoishiaใ€ŠIbra alinieleza yale yalioendelea chuo kwake na kuniambia kile alichokua akiwaza kwenye ufahamu wake>> kwa siku hiyo kutokana na kua na Mi...

"๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐——๐—” ๐—ž๐—จ๐—” ๐— ๐—Ÿ๐—˜๐—ฉ๐—œ " (3) #Tulipoishia Nilimpigia Ally akasema "Niko road Yatosha, najua umenitafuta kwa ajili ya ile safari yenu ila ndo naelekea kwa Ibra kumkabidhi chombo"..ali...

"๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐——๐—” ๐—ž๐—จ๐—” ๐— ๐—Ÿ๐—˜๐—ฉ๐—œ " EP ( 2 ) #Tulipoishiaใ€ŠRose akadakia "Pole babe, alafu babe kuna kitu nataka nikuambie"..ใ€‹ Ibra alitega skio vyema akiwa na hofu juu ya jambo analotaka kuam...