Sunday Victor
Sunday Victor

@sundey_fx

23 Tweets 21 reads Jan 26, 2022
Je kuna faida gani kwenye biashara ya ubadilishaji wa sarafu za kigeni mtandaoni? (Forex Trading)
Nimekuwa nikiulizwa sana swali hili kwenye DM yangu.
Yes! We do Appreciate twitter university
@GillsaInt @NyandaAmosi
@lissaFx_V75 @mafolebaraka @Kapteiny_eric @LeyAllyie
=UZI=
Mwaka 2018 nikiwa chuo nilikuwa nimekaa kwenye vimbweta vya Mzumbe,
kama kawaida ukiwa mwanafunzi wa chuo ni nadra sana kukosa Smart phone/ PC.
Hata mimi nilifanikiwa kuwa navyo.
Kabla hatujaendelea naoba chukua sekunde moja tu bofya Retweet kwenye tweet ya kwanza. Great👇
Sasa wakati nipo kwenye vimbweta nikawa na peruzi mtandaoni ni biashara gani naweza kufanya nikiwa chuo bila kuhathiri masomo yangu
Wakati na peruzi nikakutana na video za vijana wakitanzani wakizungumzia biashara ya Forex.
Kwa sababu nikuwa sijui kitu nikaanza kuwa na shauku
Ya kutaka kujifunza.
Ilibidi nisogee karibu na free wife ya chuo kuendelea kuperuzi. Sasa kwakati naendelea kuperu nikautana na video nyingi sana.
Kilicho nifanya niendelee kuamini zaidi ni pale nilipokutana na video nyingi sana za wazungu wakieleza kuhusu Fx Trading.
Nikaanza kujisemesha pekeangu kwa sauti,
Hii bishara itakuwa ni kweli asee!
Mpaka wazungu wanaifanya!
Kuna website na YouTube channel za kutosha tu zinaelezea Fx!
Sasa kama unavyo jua kadri unavyo search niche flani mara kwa mara ndio google wanazidi kukusogezea karibu unacho
Kitafuta.🤣🤣
Mimi simu na pc yangu ilijaa Ads za FOREX TRADING.
Kufanya story iwefupi nikajikuta naipenda fx Trading kupita hata masomo yangu.
At that time nilikuwa second year,
Sasa, nilianzaje kujifunza fx Trading skills?
Je nilifundishwa au nilijifunza?
Nilisha eeleza
Sana kwenye Thread za mwanzo, unaweza kuzitafuta ukazipia.
But nilitumbukia kwenye trading industry kibabe sana.
Ups and downs za 4+ nimejifunza mengi sana pia imenifanya kujifunza biashara nyingine out of Fx Trading.
Kumbuka headline ya uzi wetu, is all about benefits of
Trading forex.
How is forex Trading Worthy?
Yes! Kuna faida nyingi sana zilizo nifanya hata mimi niweze kuipenda trading.
Ndizo hizi leo nita share na ww kwa undani kabisa.
Licha ya kupata PESA, kama faida namba 1 ya Fx Trading, kuna sababu nyingi na za muhimu sana kuzifaham
Hizi hapa faida za Forex Trading
✨Forex ni soko kubwa sana duniani ukilinganisha na masoko mengine.
Forex ndio soko linalo husisha mzunguko mkubwa sana wa pesa kwa siku.
Zaidi ya $6 Trillion USD zinazunguka kwa siku moja tu kwenye biashara ya sarafu, Ni kiasi kikubwa mnoo
Kuna masoko kama stocks mf Google, Amazon, Meta, Tesla
Commodities kama Crude oil, Silver, Gold
Indices kama NASDAQ 100, JPN225, UK100
Despite ya ukubwa wa haya masoko, Forex market ndio soko kubwa kuliko yote.
Kila kona ya dunia watu wana uza na kununu sarafu kila sekunde
Na hii ndio inafanya fx market kuwa soko kubwa sana duniani na linalo ongoza kwa Faida na hasara.
It is the top and World's largest financial markets.
✨Ni Rahisi kwa wanaonza.
It's Good for beginners.
Moja kati ya soko rahisi sana ku participate ni Fx Market.
Accessibility ya hili soko iko open kwa kila trader mpya
Hakuna investment capital kubwa,
Unaweza kuanza hata na $10-$100
Kuna account ya mifano wakati wa kujifunza
Hii inasaidia kujenga uelewa na uwezo wa kutrade Forex market
Mentors wa Trading wapo unaweza ku wasiliana na @sundey_fx for Training, 1 o 1 training & mentorship
✨Unaweza kutrade Forex masaa 24 kwa siku 5 za week.
Moja kati ya faida kubwa ni uwezo wakupata faida,
I mean masaa 24 ya siku unaweza kushiriki kwenye soko, usiku na mchana na ukaendela kupata profits
Ipo hivi biashara ya forex ipo wazi masaa 24/5, weekend soko lina close
✨Forex Trading ina very cheap transaction cost.
Namaanisha nini hapa,
Unaweza ukawa na mtaji mdogo na ukaweza kushiriki kwenye soko,
kwa sababu kuna madalali au broker watakusaidia kukutanisha na soko then utawalipa kiasi kidogo sana tunaita SPREAD
Hakuna cost kwenye deposit au withdrawal kutoka kwa broker
Broker atakupa Currency pairs mf GBPJPY, Ataweka bei ya kuuza (Bid pice) na bei ya kununua (Ask Price)
tofauti Ya PIPS kati ya hizi ndio SPREAD
Kiasi kidogo brokers wanakucharge
Hapa tukutane darasani Tuelimishane
✨kunafaida ya mkopo kutoka kwa broker (Leverage).
Huu mkopo kitalaamu unaitwa leverage.
Nikiasi ambacho broker anakuongezea ili uweze ku participate kwenye soko kubwa dunia.
Asee! Hakuna trailer trader angeweza ku participate kwenye Fx market na mtaji wake wa $10-$100,000.
Bila ya kubusitiwa kiasi flani kutoka kwa brokers.
The power of leverage that's why tuna ringa na fainda za forex trading.
Ili uweze kuweka order za kununu EURUSD ni lazima uwe na Mtaji mkubwa Sana.
Broker ata ku leverage ili uweke order kubwa na nyingi.
✨ Forex market ni soko lenye high liquidity.
Liquidity namanisha circulation, movements ya Price, urahisi wa exchange ya currencies ni mkubwa sana.
Soko la Fx lipo very active compared na masoko menginge, real time Price movement.
So kupitia hii volume ni rahisi kutengeneza
Trader ku participate na kupata profits.
Pairs kama EURUSD, GBPUSD, GBPJPY, USDJPY ni high liquidity pairs, so exchange ya hizi currencies kuna faida kubwa sana
Because the price movement is higher.
kuna wanafunzi nipo nao kwenye Master class nadhani wanaelewa ninacho maanisha
✨ Fx market inakupa faida pande zote mbili yani ukiuza kunafaida ukinunua kunafaida.
Thamani au bei za sarafu zina panda na kishuka at real time, jutoka na sababu mbalimbali za kiuchumi.
At the time price inapanda una nunua , ikiwa inashuka unzauza, so that profit ni both ways
Leo nina OFFER ya eBook Ya Forex Trading Basics.
Kina Basics za muhimu sana kwenye Trading, baadhi nimegusia humu.
Kitakusaidia kuijua Fx Basics.
Ni kwa wote Beginners na profitable Trader.
Mwanzo kilikuwa kinapatikana kwa 10,000 sasa utakipa kwa 5,000 Tu
M-PESA 0742 193 135
Jina SANDE KHAMBA
Ukishalipia tuwasiliane kwa hiyo namba via WhatsApp
My DM Is Open 24/7
Kama umeupenda Huu Uzi nakuomba usiache ku Retweet, tweet ya mwanzo
Account hii ipo kwa jili ya kukupa update za
Cryptocurrency
Ghost writing
Day trading
NFTs
Cheers
@sundey_fx

Loading suggestions...