Digital Nomad ( YT @mafolebaraka)
Content marketer @greyfinance @greyfinanceea I Programs & Partnership manager @nocodetz I Building @jukwaaafrica. My Youtube π
View on πThreads
Jifunze kudesign kwa Canva Jifunze Kuedit video kwa Filmora Jifunze Subtitling kwa Aegsub Jifunze kutumia Notion Jifunze kutumia Trello Jifunze kutumia Camtasia Jifunze kutumia Cap...
Moja ya mtandao wa simu hapa bongo unanipiga almost 10k kila baada ya siku mbili kwa bundle la 4GB. Kwenye pita pita zangu nikagundua kuna ISP ukimpa 115K tu anakupatia Internet...
Creative Indurstry ni mgodi flani wa hela unaochukuliwa poa sana . Incase umepanga kujifunza kitu kipya 2023 ,Nakushauri tafuta kitu kimoja kwenye Creative Indurstry Ujifunze . A...
Kwenye Freelancing moja ya kitu kipo underated ni uwezo wa kutumia tools mbalimbali . Kuna tools ambazo kimsingi kuzifahamu na kujua kuzitumia ni mchongo tosha . zifuatazo ni too...
Kuna watu wanaogopa kuingia Freelancing kwa sababu ya Lugha ,nikimaanisha aidha hawaifahamu vizuri lugha ya kiingereza na wanaogopa kwa sababu wateja wengi ni kutoka kwenye mabara...