Creative Indurstry ni mgodi flani wa hela unaochukuliwa poa sana .
Incase umepanga kujifunza kitu kipya 2023 ,Nakushauri tafuta kitu kimoja kwenye Creative Indurstry Ujifunze .
Anyway ,Thread hii nitaandika skills mbalimbali unaweza jifunza kwenye creative Indurstry .

Kabla sijaendelea nina habari nzuri kidogo hapa.
Kwa zaidi ya miezi minne tulijifunzia kidogo kutengeneza jukwaa litakalowezesha creators kuuza bidhaa zao za kidijiti ,Kuuza muda wao na kutengeneza Jumuiya za kidijiti.
Nina furaha kuwataarifu @jukwaapp ipo hatua za mwisho.

Tuachane na mambo ya @jukwaapp turudi kwenye kilichofanya nishushe uzi huu .
Chini hapa nakushushia stadi mbalimbali za creative Indurstry ambazo unaweza jifunza mwaka 2023.
Shuka nayo

1. UI/UX DESIGN
2022 imekuwa njema sana kwa wataalamu wa UI/UX Design .
Trends ya AI na Blockchain ilitengeneza Fursa nyingi zaidi kwa wataalamu wa UI/UX.
2023 Tunatarajia makubwa zaidi hasa baada ya Adobe kuichukua Figma .
Cousera pale kuna kozi inatolewa kuhusu UI/UX Design

2.GRAPHIC DESIGN
Achana na Utani wa CANVA na PHOTOSHOP , Asikwambie watu wa graphics wana mpunga sana .
Graphics itakupatia clients wengi sana hususani ukiweza kutengeneza designs kali .
Graphic designer gani kazi zake zinakuvutia zaidi ?

3. VIDEO EDITING
Hapa kuna hela nzuri napo .
2023 jifunze kutumia tools kama Adobe Premier ,Filmora Wondershare na Camtasia .
Utakula sana hela za Youtubers ,mabinti wa social media na wakufunzi wa mtandaoni.
Uzuri tutorials za kujifunza Video editing zipo za kutosha youtube

4. AUDIO EDITING
2023 tunatarajia kusikia podcasts nyingi sana za wabongo pamoja na mataifa mengine.
Tools kama Cubase 5 na Audacity zinafanya Audio editing kuwa kama mkate kwenye chai .
Jifunze kuedit Audio kabla 2023 haijaisha

5.UTENGENEZAJI WA MAUDHUI
hapa ndipo Apps kama @jukwaapp zinapokuja .
Kuna hela nyingi sana kwenye kutengeneza maudhui .
unaweza uza beats , templates ,kuuza ebooks na kutengeneza maudhui ya kuuza patreon na Gumroad.

6.VOICE OVER NA DUBBING
Hapa mtaji wako sauti na kiingereza kidogo ili uteke soko la wazungu .
watu wanaoweza kuingiza sauti kwenye video na filamu mbalimbali wanatafutwa kwa udi na uvumba .
Jaribu kuisaka hii michongo kwenye freelancing platforms ama websites special .

7.FUNDISHA WATU MWAISA
Hiko uko nacho kwa ubongo kuna watu wanataka wajifunze .
Pambana na Imposter Syndrome mwakani tushushie Masterclass tutalipia .
Halafu kwenye kufundisha watu kunafungua milango mingi sana.

Mwisho nikutakie siku njema hadi wakati mwingine
Loading suggestions...