Kuna watu wanaogopa kuingia Freelancing kwa sababu ya Lugha ,nikimaanisha aidha hawaifahamu vizuri lugha ya kiingereza na wanaogopa kwa sababu wateja wengi ni kutoka kwenye mabara yanayozungumza kiingereza .Lakini ,kwa uzoefu wangu ninaamini ......
Lugha haiwezi kukukwamisha kuingiza kipato kwenye majukwaa ya Freelancing kwani kuna baadhi ya Clients hawaifahamu lugha ya Kiingereza kabisa so kama unajua kabisa kiingereza kwako ni chenga aidha chagua kuanza kujifunza kiingereza ama ....
Focus kujifunza stadi ambazo hazitokuhitaji kujieleza zaidi mfano wa stadi hizo ni pamoja na Graphic design ,web design au jifunze kutumia tools tofauti tofauti kama aegsub ,Filmora wondershare ,mara nyingi stadi hizi hazitokuhitaji wewe kujielezea sana bali portfolio ....
Yako na work samples zinaweza kuzungumza .Kitu cha pili anza kufocus na zile location based jobs ,kuna kazi zinakuhitaji uwe unaishi mahala fulani tu mfano kuna kazi nimewahi pewa na mteja wa Canada alihitaji niende kwenye kiwanda cha plastic Recycling kuchukua no tu....
Na alinilipa Usd 60 (kindly naomba usiwatag 😅😅😅 ) anyway kabla sijaendelea kuna mchongo hapa kutoka Getpaid @AfricaGetpaid ,hawa wanakuwezesha kupokea malipo kutoka sehemu yeyote ulimwenguni na step zao za kujisajili ni rahisi mno ....
Shuka na huu uzi chini 👇
Shuka na huu uzi chini 👇
Ukiwa mgeni kwenye freelancing platform kuna kakichaa kakuomba kazi zenye hela nyingi huwa kanakuja kichwani sasa jitahidi usiingie kwenye huo mtego kifupi #kataauhuniwakuapplykazizenyehelanyingiukiwamgeni wewe focus na vijisenti vidogo vidogo nikimaanisha chini ya usd 10 ....
Hii formula huwa naitumia mara nyingi nikiamini ukiwa unaanza kwenye zile platforms unakua bado hujajiestablish vizuri na hata nikuulize wewe ungekua client ungekubali kuweka usd 500 kwa mtu ambae ndio kwanza kabisa anaingia kwenye platform ? ..
Freelancer wengi wa East Africa tuna kaushamba cha kujidai wote ni matranslator wa English to Swahili huu ni uhuni mwingine inabidi tuukatae nakupa sababu hapa kwanini tukatae 👇
1.Tumekua tumefocus na skill moja tu na kujikuta nyingine tumeziacha huku tukiwaacha West Africa wanajimwaga mwaga kwingine
2.Tunajikuta inapostiwa kazi moja ya Translation ikipostiwa ndani ya sekunde watu 50 + wamekua wameomba hivyo tunajikuta tunashindana sisi kwa sisi .....
2.Tunajikuta inapostiwa kazi moja ya Translation ikipostiwa ndani ya sekunde watu 50 + wamekua wameomba hivyo tunajikuta tunashindana sisi kwa sisi .....
Uzi mrefu sana huu kabla hatujaendelea tukapumzike zetu Hamia Hapa @HamiaHapa tujichukulie kaofisi chetu kamoja tukae tupate story huku tukiwa tunapiga kazi zetu mbalimbali 👇
Kuna kitu huwa tunakikwepa sana nacho sio kingine bali ni kujifunza Wabongo na watu wa Ukanda huu wa Afrika Mashariki tuna kaugomvi na Online Course ,wengi wetu hatupendi kuwekeza muda wetu kujifunza stadi mbalimbali na muda mwingine huwa tunajitafutia sababu tu .......
Ili tusisome ila mimi nakwambia moja ya njia rahisi ya kutoboa kwenye hizi Freelancing platform si suala la kuwa na stadi ,ukiwa na stadi hata humu Twitter unaweza pata Client na wakakutosha fresh tu .....
Wenye stadi pia muda mwingine huwa wanasumbuliwa na kitu kinaitwa Imposter Syndrome nikimaanisha hawajiamini ,sasa nakwambia huku kazi zinagawanywa kuanzia Entry ,Intermeddiate na expert level so usiogope kuanza kuuza ujuzi kwenye level uko nayo ....
Loading suggestions...