Madinidotcom
Madinidotcom

@madinidotcom

8 Tweets 5 reads Mar 30, 2022
PART 2: #PichaLinaanza
Yaani NATO ni kama jamaa flani ambaye anakuja jirani na nyumba ya kupanga na mkimuuliza amefata nini anasema ni mganga wa kienyeji na ameitwa hapo na mpangaji mwenzenu mmoja,then siku kadhaa mbele yule mpangaji anafariki ghafla ,alafu bado mnamuona jamaa
deile yupo barazani mkimuuliza anasema anasubiri kama kuna mpangaji kati yenu watamkaribisha
Imagine utachukua hatua gani? Basi hivyo ndivyo Puttin anajiskia kuhusu NATO.MBAYA ZAIDI unashangaa wapangaji wenzako wanaanza kumkaribisha na anaanza kuingia kila chumba cha nyumbaπŸ‘‡
unayoishi alafu ukicheki wewe ndo FAZA AU Msimamizi wa HOUSE so huwezi kuhama Je?Utafukuza wapangaji au utapiga mganga marufuku ya kuja nyumani kwako?
Hiyo ni kwa ufupi na kwa wepesi Sasa Twende tuelewe nini kinatokea hadi tumefika hapa.Tuingie class kidogo tupige pindi fupiπŸ‘‡
Tuingie class kidogo tupige pindi fupi na rahisi la Histori ya Asia na Russia ndo njia pekee unaweza kuelewa yote haya.Lets go back in time then nikulete hadi hapa tulipo leo.Kwasasa tupo karne ya 21 so hesabu rudisha karne kadhaa nyuma hadi ya 9,Wakati FID Q anasema alikuja Dar
wakati huo SINZA DAR ES SALAAM watu wagawiwa viwanja,Kwenye karne ya 9 ninayokwambia hapa SINZA na Dar yenyewe Haikuwepo ni mbali kiasi hicho.Karne ni miaka 100 so kwenye kila miaka 100 kuna kitu hushift kwenye dunia,hii huanzia miaka 10.Ndio maana kuna malengo ya MUONGO
KARNE na MILLENIUM.Karne ya 9 kulikua na mwamba mmoja anaitwa GRAND PRINCE VOLADMER ,huyu jamaa Urusi wanaita VLADMIR na Ukraine wanatamka kama linavyoandikwa VOLAD-MER. ndo alikua kiongozi wa mji ilipozaliwa UMOJA WA SOVIETI iliyozaa Russia ya leo,uliiitwa KIEVAN RUS.
#Trustory kama umegundua both marais wa sasa wa Urusi na Ukraine wana hilo jina.Wa ukraine jina lake la kwanza ni Volodymyr na wa Urusi ni VLADMIR so hii nadhani imeanza kukuonyesha kitu Kuhusu hawa watu. So ukiona majeshi ya URUSI yapo ndani ya UKRAINE na mizinga na makomboraπŸ‘‡
inasound kama ni GEOPOLITICS yaani SIASA zinapokutana na JOGRAFIA but hii ni zaidi ya hilo.Kuna issue za kijamii. So PUTTIN anataka nini?Na Kwanini?Ilianzaje?Humu kuna story juu ya story...Inaendelea @eastafricaradio USIKOSE .Kitabu DM au Whats app

Loading suggestions...