Madinidotcom
Show ya radio kwa #TAARIFANaMAARIFA kila wiki.Tunajadili ya dunia kwa lugha rafiki na nyepesi. kila Jumamosi 9alasiri - 10jioni Eastafrica Radio..Subscribe👇
View on 𝕏Threads
#Taarifa KINAUMANA SOON SA🇿🇦 Kuna dalili za kung'olewa kwa rais Cyril Ramaphosa kwa skendo wanaiita #PhalaPhalaFarmgate . Lilianza kama tukio la wizi lililoibua vibunda vya pesa z...
ZIMEVUJA, AMRI 6 ZA ELON MUSK KWA WAFANYAKAZI WAKE WA TESLA,SPACE X NA TWITTER n.k .Ameziita “Productivity recommendations" No meetings zisizolazima na kama huna la kuchangia sepa...
ELON MUSK ANA PLAN GANI NA SISI?#PichaLinaanza #ElonMUSK ni jina tulilokutajia kitambo,YES kama ulifuatilia Episode ya MBIO ZA ANGA ZA JUU https://t.co/RKhU6ZS61x , ndipo tulikut...
KWANINI URUSI AMEICHUKUA CRIMEA??.UTAJIULIZA why crimea? Well ,Hii KREMIA kamaKREMIA ni PENUNSULA yaani ukisikia PENUN-SULA ni eneo la ardhi ambalo limezungukwa na maji sehemu zot...
Wiki hii kwenye #LiveNaGeeRoundUp tutakuwa kule FIJI bhn, #Taarifa ni kuwa hii ni nchi yenye muunganiko wa takribani visiwa 330 vinachopatikana kusini mwa Bahari ya PASIFIC ikiwa n...
KUPANDA KWA MAFUTA, DOLA NA SIASA ZAKE. 🧵 Ukweli na uhalisia ambao hatutabishana sana ni kwamba 'wese limepanda' na maisha yamepanda kote duniani na kifupi TUNAOUMIAniSisi na saba...
CORONA VIRUS NI KAZI YA MAABARA? WHY CHINA? .......1978 KUELEKEA 80 Serikali ya China ilinyoosha mikono juu rasmi ‘mwendo wa mateka’, na ikaamua kubinafsisha sekta ya kilimo na uf...
The leak🔥 December 1st 2012 Snowden alimtafuta mwandishi wa gazeti la the Guardian Uingereza Glenn Greenwald kwa jina feki la (cincinnatus), akamwambia ana documents very sensiti...
Edwards Joseph Snowden NI NANI? Ni mshkaji wa miaka 36 na anatokea familia ya SERIKALINI. yaani kuanzia babu hadi wazazi wake wapo serikalini, kifupi kilichotokea ni mbuzi wa mama...
Wakati unajiuliza Vita ya Urusi na Ukraine itaisha lini hizi hapa ndio demands 3 alizitoa Rais Putin ili asiivamie Ukraine.🧵 Alisema nina mambo 3 nataka myatekeleza CHAP kwa Harak...
HAITI KIMEUMANA. Kule Haiti taifa la kwanza la mtu mweusi kujitangazia uhuru ni kama KIMEUMANA tena bwana, maelfu ya raia wameingia mtaani wakishinikiza Waziri Mkuu Ariel Henry k...
KWANINI SIKUMIND GAME OF THRONE VYOISHA?(MATENDO VS NIA ZETU) part1 Wazo la nia njema sio lazima kufikiwa kwa njia njema, so ili taifa kupiga hatua,kinachohitajika ni viongozi we...