Madinidotcom
Show ya radio kwa #TAARIFANaMAARIFA kila wiki.Tunajadili ya dunia kwa lugha rafiki na nyepesi. kila Jumamosi 9alasiri - 10jioni Eastafrica Radio..Subscribe👇
View on 𝕏Threads
UKRAINE SAGA ; PUTIN VS THE WORLD #PichaLinaendelea anzia post za nyuma ili kuelewa.. ...💨Then DEMAND namba 2 akasema NATO iondoe majeshi na shughuli zote za kijeshi kwenye zile...
UKRAINE SAGA PICHA LILIANZIA na moment ya Sapraiz baada za picha satelaiti kunasa umbea kwamba kuna maelfu ya wanajeshi na vifaru,hosipitali za dharura na vitu vingi vinavyotumika...
5G NI NINI? ATHARI ZAKE ZIKOJE? #PichaLinaendelea tafuta post ya kwanza.. So simu zikajengewa BOMBA la ndani kwa ndani a.k.a la kuzaliwa nalo kwaajili ya kupitisha DATA yaani int...
#PichaLinaendelea anzia post iliyopita.. CHIMBUKO LA UADUI NA UHASAMA IRAN,SAUDIA NA MAREKANI. hawakufurahishwaga na uvamizi wa marekani IRAQ kwasabab ulikua unawaweka wote HATA...
CHIMBUKO LA UADUI NA UHASAMA WA IRAN,SAUDIA NA MAREKANI. #PichaLinaanza I hope tunajua IRAN inaandamwa sana kwasasa Duniani.Marekani wameikalia kooni na zaidi ya yote ni SAUDI ARA...
5G NI NINI? ATHARI ZAKE KWA MAISHA YAKO? #PichaLinaanza KIKI ya #Corona imekua kubwa lakini kabla ya hapo ilikua kwa #5G na wengi mpaka sasa wakisikia mjadala wowote kuhusu 5G,we...
KWANINI NOFLYZONE ni kipengele vita ya UKRAINE? No Flai zoni ndo nini na kwanini inaonekana kama komeshaToto tundu #Puttin ? Well Karibu uchimbaji wa madini.Badala ya UZI acha tuit...
madinidotcom #PichaLinaanza PART 1 ...Mbali na zile nchi zilizojitenga Kuna teritori ama tawala 85 ndani ya Russia 🇷🇺 na 22 kati yake zinaitwa JAMHURI(Republic) yaani ni nchi kama...
#PichaLinaendelea anzia post zilizopita... URUSI VS MAREKANI KWENYE ULIMWENGU WA TAARIFA. Clip yake ilivujishwa baada ya Bi #Nuland kuonekana akiwa na waandamanaji kwenye nchi j...
URUSI VS MAREKANI KWENYE VITA YA TAARIFA. #PichaLinaendelea huyu kijana mpya kwenye FANI Balaa likatokea septermber 11 2001 kwenye lile shambuli la UGAID lililompa kiki Osama Bi...
URUSI vS MAREKANI KTK ULIMWENGU WA TAARIFA. #PichaLinaendelea part 2 🍿Lakini PUTIN mwenyewe anasema “Pambaneni na hali zenyu,SIHUSIKI”,Kwasabab hakuna ushahidi wa DIRECT.Ili ku...
PART 2: #PichaLinaanza Yaani NATO ni kama jamaa flani ambaye anakuja jirani na nyumba ya kupanga na mkimuuliza amefata nini anasema ni mganga wa kienyeji na ameitwa hapo na mpang...