Madinidotcom
Madinidotcom

@madinidotcom

19 Tweets Dec 08, 2022
URUSI vS MAREKANI KTK ULIMWENGU WA TAARIFA.
#PichaLinaendelea part 2
🍿Lakini PUTIN mwenyewe anasema “Pambaneni na hali
zenyu,SIHUSIKI”,Kwasabab hakuna ushahidi wa DIRECT.Ili kuelewa hii issue Kwanza uelewe historia fupi sana ya uhusiano wa marekani na VLADMIR PUTIN..
🍿FunyFact ni ,Rais PUTIN ameshawashuhudia MARAIS 5 wa
marekani wakija Na kuondoka.this means ilianza PUTTIN Vs RAIS BILL
CLINTON(42),GEORGE W.BUSH(43),OBAMA(44)TRUMP(45) ,na sasa atamshuhudia JOE BIDE(46) wakija na kugonga mwamba na kuondoka lol Huyo ndio VLADMIR PUTIN mzee
wa manuva,tuone biden atafika wapi. Historia yake kwa ufupi inaanzia 1999 hivi ambapo aliyekuwa rais wa urusi wakati huo Boris Yeltsin aliibuka tu kwenye TV akawaambia wananchi naomba
kuwatangazia..BREAKING NEWZ...akaonekana rais BORIS kwa Upole akisema .
🍿”Wananchi wangu wapendwa naomba nisikitike kuwaambia naachia ngazi,nimewapigisha
faulu nyingi sana wanangu,kama vipi tukaushiane tu,tusahau yaliyopita tugange yajayo na kuna huyu mwamba hapa wakuitwa VLADMIR PUTIN ataendelea na
nyie,mimi nimewaangusha kiana wanangu
🍿mnisamehe,na log out” Ilikuwa huzuni URUSI na baadhi ya watu walionekana kutokwa na machozi, kwasababu hata rais BORISI wakati anatoa hotuba yake naye alianza kulia live kwenye TV.Hapa ndipo zee la manuva Vladmir PUTIN aliingia rasmi madarakani.Story yake
🍿Ya nyuma ni ndefu lakini kifupi ni JASUSI aliyebobea na kufanya kazi enzi dunia ikiwa vitani na amekaa sana #ulaya na #Urusi na hata marekani anaijua vizuri.Mbali na
kirussia anaongea KIJERUMANI TU,lakini anaelewa KIINGEREZA
ukichunguza #interviews zake nyingi za waandishi
humuuliza kiingereza na anajibu kirussia.Kwasababu ya kazi yake JASUSI(SPY),sharti kuu ni 'usijulikane',so hakuna aliyemjua kabisa hadi alipoonekana GHAFLA kateuliwa UWAZIRI MKUU NA GHAFLA kapewa URAIS kilichotea
kabla ya hapo ni story ndefu
sintamaliza.
🍿Lakini PUTIN akawa ameingia madarakani kwa mtindo huo
Huku USA rais wakati huo alikuwa ni BILL CLINTON ambaye alikuwa rafiki sana na URUSI
kwasababu rais BORIS alikuwa anaongoza kama marekani
walivyotaka yaani warusi walikuwa na uhuru wa kudamshi watakavyo na demokrasia
🍿Sasa alipoingia huyu jasusi kutoka KGB LILILOKUWA SHIRIKA LA UJASUSI URUSI ikabidi rais CLINTON afunge safari miaka hiyo kuitembelea URUSI rafiki yake na kukutana na huyu jamaa mpya ‘New kid on he block” ambaye
🍿hawana sana taarifa zake.
Nilwiahi kuielezea hii,Wanasema hii huwa ni TeKiN!KI muhimu sana
hasa kwa watu wenye nguvu na viongozi wakubwa duniani.Wakijua kuna mtu mpya mahali penye maslahi yao lazima wataomba kukutana naye in person kwasbabu kisaikolojia mtu hawezi kuwa STRONG
🍿kwenye vitendo,kama hayupo strong in person.Ukikutana na mtu face to face kuna vile inashape mtazamo wako tofauti
na ukiwa unamsikia tu. Son
CLINTON akaenda akakutana na PUTIN wakapiga story,lakini
Kwenye #documentary moja alihojiwa MPAMBE wa CLINTON
wakati huo,na
mara nyingi wapambe wa rais ni wataalamu wa saikolojia,anasema CLINTON alipofika kumuona na kuongea na PUTIN aliomba kukutana na rais mstaafu BORIS na alimvuta karibu na kumwambia maneno haya ‘Huyu kijana uliyempa aiongoze Russia hayakuwa maamuzi sahihi
🍿hana demokrasia moyoni
kwake”.Clinton alimuambia BORIS na ikapigwa picha maarufu ambayo
inamuonyesha rais CLINTON akinyoosha mkono kifuani kwake huku akimtazama rais BORIS.
Mpaka #CLINTON anatoka madarakani hakuwa na mhakuwa na mahusiano mazuri na rais #PUTIN
urafiki
🍿wa Russia na marekani ulianza kuyumba.Then akachaguliwa
GEORGE W.BUSH,ilikuwa ni zamu ya rais PUTIN kuja kumpokea kijana mpya kama yeye alivyopokelewa na CLINTON awamu iliyopita.Naye mbinu ilikuwa ileile kumjua mwenzake mpya katika fani ni mtu wa aina gani?kumbuka PUTTIN
ni afisa wa KGB na jasusi ambaye maisha yake yote aliyatumia kucheza na akili za watu.its so hard kucheza na akili zake!ndio maana CLINTON alipomuona tu akajua hapa KUSHNEY Babujiii. Putin
akafanya ziara MAREKANI na kukutana na rais BUSH,Ukienda youtube utaiona na hapa ndipo
tunaanza kurudi kwenye jinsi ile HACKING ya mwanzo ilitokea na sababu za kutokea.Hapa najaribu kukupa historia ya hizi pande mbili.Unajua ukiconnect na mtu in person, ni rahisi zaidi hata kufanya maamuzi pamoja kwenye mambo nje ya ushkaji wenu? Mfano ni kuna tofauti ya
unavyohudumiwa kwenye bar,hotel,bus stand,bank n.k endapo unafahamika kuliko ukiwa hufahamiki. So PUTIN kisaikolojia wanasema study zake zilimjulisha udhaifu pekee wa rais BUSH ilikuwa imani yake UKRISTO, kwahiyo walipokutana akampigia story moja hivi ya kizushi tu,kuhusu
mama yake na KANISA miaka
hyo,kifupi haieleweki lakn ilimgusa bush KUMOYO na kuona ‘haka kajaa kanamtambua Jesus sio kama Afande sele wa morogoro’.So waliporudi mbele ya waandishi wa habari,ndugu yenu GEORGE BUSH, akaongea mbele ya dunia kwamba huyu bwana kwa jina V. PUTIN
ni mtu mwema,marekani
inamuamini,hana shida na mtu na mumpeni ushirikiano,kwenye kampeni yake ya NYUMBA NI CHOO. lol Then Putin akajua ameshamuingiza king
#PichaLinaendelea post ijayo

Loading suggestions...