Madinidotcom
Show ya radio kwa #TAARIFANaMAARIFA kila wiki.Tunajadili ya dunia kwa lugha rafiki na nyepesi. kila Jumamosi 9alasiri - 10jioni Eastafrica Radio..Subscribe๐
View on ๐Threads
MAUAJI YA Mohsen Fakhrizadeh KAMA MOVIE. sehemu 2 #PichaLinaendelea tulipo ishia "Rais wa Iran Hassan Rouhani anaonekana kukubaliana na theory ya mtaalam blaza Mark Fitzpatrick...
MAUAJI YA Mohsen Fakhrizadeh KAMA MOVIE #PichaLinaanza Kuiadhibu Iran kama taifa kwa adhabu za vikwazo vya kiuchumi hakujaweza kuzuia hatari inayosemwa na mataifa makubwa,na 'NEXT...
hadi wanafadhili safari za kupiga misele anga za juu.Boss wa Fb Zuckerberg maisha yake kwasasa kina kondeboy wanasema "Akichimama Nchale,Akikaa Nchale,akitafuna Nchale,akimung'unya...
Story ya Edward Snowden na marekani kiundani. Unyama tu yani Sehemu ya 5 #PichaLinaendelea Kucancell passport maana yake nchi yako IMESEMA โโhatuna taarifa za huyo bwana na asit...
STORY YA EDWARD SNOWDEN Sehemu 4 #PichaLinaendelea Kama nilivyosema mwanzo nyaraka hizo zilionesha ambavyo marekani wanavuna mamillion ya E-mail instant messages za watu na serika...
Rais Puttin na DEMANDS 3 ambazo alitaka zitekelezwe haraka As SOON as POSIBO.Kwanza NATO ni MUUNGANO wa nchi 30,I stop kujitanua mashariki mwa ulaya.Yaani NO MORE MEMBAZ. Na hapa...
STORY YA EDWARD SNOWDEN Sehemu 3 #PichaLinaendelea MSALA ULIANZAJE? Miezi mitatu kabla hajaamua kuvujisha siri nzito za Serikali ya Marekani,Snowden alimuona Boss wake aliyekua di...
STORY YA EDWARD SNOWDEN Sehemu 2 #PichaLinaendelea Sasa huyu Edwards Joseph Snowden NI NANI? Ni mshkaji wa miaka 36 na anatokea familia ya SERIKALINI yaani kuanzia babu hadi waz...
STORY YA EDWARD SNOWDEN #PichaLinaanza ni sehemu ambayo tutakupa DEEP STORY ya yale mambo yaliyotokea duniani ambayo hukuwahi kuyapata kiundani yalitokeaje,sababu zake ni nini na...
MAHAKAMA YA ICC NA MGOGORO WA Israel na palestina. #PichaLinaendelea sehemu ya 2 2003 Taleban wakawa washakula dozi ya kutosha na serikali mpya ya AFGHANISTAN ikaundwa.Jeshi la...
:MFAHAMU JULIAN ASSANGE WA 'WIKILEAKS' NA KILICHOMPATA Sehemu ya Mwisho ๐ญ #PichaLinaendelea Kama mlivyomsikia mshua wake shishi hapo anasema "wikileaks is AMAIZING,Ilove wikiLiks...
MAHAKAMA YA ICC NA MGOGORO WA Israel na palestina Ndugu POMPEO ni mtu mzito level za juu U.S.A na alinukuliwa akiongea kama kama serikali ya Marekani akisema MAHAKAMA YA ICC NI โ...