Madinidotcom
Show ya radio kwa #TAARIFANaMAARIFA kila wiki.Tunajadili ya dunia kwa lugha rafiki na nyepesi. kila Jumamosi 9alasiri - 10jioni Eastafrica Radio..Subscribe๐
View on ๐Threads
PART 1: #PichaLinaanza PUTTIN limekua JINA MOJA LILOLOIWEKA ULAYA KWENYE SPOT LIGHT YA DUNIA NA DUNIA IKAWA INAJIULIZA je?ATAIVAMIA UKRAINE? #KwenyeLiveNagee PIA TULIFANYA MJADALA...
#MadiniReview Picha 10 za kumfaidi bad gal #Riri binti kutoka jamhuri ya #Barbados ๐ง๐ง.Ni kati ya visiwa vilivyokua chini ya malkia wa Uingereza Queen Elizabeth ii ,na mwaka jana ka...
Rais PUTIN ameshawashuhudia MARAIS 5 wa marekani wakija Na kuondoka.this means ilianza PUTTIN Vs RAIS BILL CLINTON(42),GEORGE W.BUSH(43),OBAMA(44) TRUMP(45) ,na sasa atamshuhudia...
URUSI NA MAREKANI KWENYE ULIMWENGU WA TAARIFA. Uzi๐ #MadiniDotCom BAADHI tuliisikia na bado tunasikia kwamba #URUSI ililalamikiwa KUINGILIA uchaguzi wa #Marekani na kumsaidia #T...
#Taarifa Uingereza imethibitisha jamaa tayari wapo mji mkuu wa Ukraine na wao huwa hawashughuliki na kazi nyingine ila mishen waliyopewa.Hawa ndo wale ambao movies nyingi huwa zina...
Ankali BIDEN rais wa ile nchi aliyoolewa Vanessa Mdee,anasema YEYE kwa jinsi alivyosoma akili za ndugu Puttin kichwaNgumu,huenda yule mhuni anaitaka zaidi ya Ukraine.Anamaanisha n...