Madinidotcom
Madinidotcom

@madinidotcom

26 Tweets 67 reads Mar 30, 2022
STORY YA EDWARD SNOWDEN
#PichaLinaanza ni sehemu ambayo tutakupa DEEP STORY ya yale mambo yaliyotokea duniani ambayo hukuwahi kuyapata kiundani yalitokeaje,sababu zake ni nini na yaliishaje au yanaendeleaje
Ukishasikiliza hapa msanue mwenzako asikose.Tunaanza na EDWARD SNOWDEN
Kama umeshasikia story zake hapa utaongeza kitu zaidi,km ndio unamsikia hapa kwa mara ya kwanza utainjoy FULL MOVIE la huyu jamaa.Kifupi sana huyu
jamaa ndiye aliyevujisha moja ya SIRI KUBWA DUNIANI iliyoiamsha dunia kwamba MAREKANI
inafuatilia na kudukua mawasiliano ya kila mtu (kinyume na katiba), na Kutokana na usnitch huo aliofanya kwa sasa anaishi URUSI ambayo
imempa hifadhi.nini kilitokea?Nini kinaendelea?alianzaje hadi akavujisha siri? Mshkaji alikuwa chumbani na manzi yake
(mchumba)wa tangu kitambo
LINDSAY MILLS aliyekua anajiandaa kwenda na mashosti zake kula bata la weekend bila
kujua mwenzake kichwani alipanga tukio ambalo lingebadili kila kitu kwenye maisha yao.akamwambia “I might not be here when you get back’’(ukirudi unaweza usinikute hapa)
Sidhani kama bi dada alielewa mhuni anachomwambia.We all know,ukiwa umemzoea mtu,siku akiwa hana mizuka au mood yake ipo tofauti lazima utamgundua.kwa siku kadhaa, Lindsay anasema
nilimwangalia tuuh kwasababu hatukua sawa, “we were struggling” mahusiano yao yalikua na tatizo
ambalo yeye binafsi hakua analijua,walienda visiwa vya
HAWAII kula bata lakini jamaa bado akawa hayupo kabisa kwenye mood.Ndugu yenu hapa ndo alikuwa anapanga kuvujisha clip
kwa mnaoelewa kidhungu anasema " i have known him for a very long time i have never seen Edward like
this he was tense and always frustrated constantly stressed,and I mean we were in hawii, it was supposed to be a turn up but he
was always out of it like disconnected"Wakati anaambiwa ‘Ukirudi inawezekana usinikute’ hakuwa anaelewa kwamba
maisha yao yatabalika sana na kwamba
na kwamba watakapokutana tena huyu mwanaume wake,atakua THE EDWARD SNOWDEN,Mwamba ambaye anahusika na UVUJISHAJI wa siri nzito kuwahi kuvuja kwenye historia ya marekani!Edward aliamua kujitoa muhanga kuonesha Raia wa USA na dunia kilichokua kikifanywa na serikali ya Marekani
ya kuendelea na maisha yake hata baada ya mimi, ningemwambia ningemfanya mshiriki wa makosa yangu na FBI wangemfunga yeye badala ya mimi au wamemtumia yeye kunifikia mimi na hiyo haikua sawa kwa mtoto wa watu niliona
bora ambavyo hakujua kitu chochote"
Unaouonaje uamuzi huu wa blaza?ni Mwanaume wa kweli au wa DAR?lol Jina Edward Snowden ni mshkaji tu aliyekuwa na miaka 27 alipoamua kuvujisha siri za serikali ya marekani kwamba ina dukua,kuchunguza na kupeleleza mawasiliano ya Wananchi wake pamoja na watu wa nchi zingine
ambazo zilikua rafiki au adui wa Marekani, kwa kingereza inaitwa ( Global Surveillance) iliyokua
inaendeshwa na NSA (National Security Agency) na CIA ( Counter Investgation Agency ).Hivyo Snowden alisema serikali marekani inawapeleleza raia wake pamoja na wa mataifa mengine
Na kutoa ushahidi wa nyaraka za siri zilizo thibitisha madai yake Hakuna namba Kamili lakini inasemekana Edward Snowden alichukua na
kuvujisha 1.7 million za nyaraka zenye siri nzito za serikali ya Marekani.Ili kuielewa fresh
nikuelezee issue yenyewe inachomaanisha..
Nchi zote zilizoendelea duniani (developed) zinauwezo wa kudukua mawasiliano ya watu. Uwepo wa Satelites na kuongeza kukua kwa technologia kwa kasi ya ajabu kumerahisisha hayo, hivyo nchi kama Marekani, Canada, Urusi, Uingereza, Ufaransa na etc zina uwezo wa kufanya hivyo..
na huwa zinafanya ili kulinda
Usalama wa Nchi zao na kuhakikisha matukio ya kijasusi na kijambazi yanadhibitiwa kabla ya kutokea.Zamani hii technolojia ilikua inatumika kudukua Usalama wa Nchi zao na kuhakikisha matukio ya kijasusi na kijambazi yana dhibitiwa kabla ya kutokea.
Zamani hii technolojia ilikua inatumika kudukua mawasiliano ya watu ambao walikua ‘wanahisiwa’ na Serikali kuwa threat auwanawez kujihushisha na matukio ya kijasusi yaani watu hatari LAKINI sio
wananchi wa kawaida TUNAPOSEMA ‘kudukua’ mawasiliano inamaanisha kuanzia phone calls
messages,emails,social media accounts kila kitu unachofanya kwenye simu yako au computer yako wanauwezo wa kukiona na kuchukua bila wewe kujua especially (smartphones and smart computers)
Edward anasema " they can turn ur phone to spy on u, that mic on your phone can be a listening device “ Yaani wanaweza kuigeuza simu/computer yako kuwa kifaa cha kukuchunguza,wanasikia kila kinachoendelea na kila unachofanya, au camera ya simu yako inaweza ikawa inapiga picha
inapiga picha au kuchukua video bila ata wewe kujua wala kuiaccess.
Funny fact ni kwamba, anasema unaweza ukawa huitumii,mfano umeiweka mezani,lakini simu ikatuma na kupokea data na kufanya vitu ambavyo ata huwezi
kujua.Kama hujui,kikawaida simu ikiwa ON inaongea na kutuma
kutuma taarifa nyingi sana bila ata
wewe kuigusa wala kujua.Ndio maana hata usipotumia simu lazima chaji itapungua.ili iwe on inahitaji some updates kutoka kwa waongozaji(wataalamu mtatuelezea zaidi kwenye comments) sasa NSA wakatumia Mwanya huo kudukua
mawasiliano ya watu
kadhaa wanaowaita potential targets. Na ndo maana OSAMA BIN LADEN hakuwa akimiliki simu ya mkononi wala computer tangu miaka ya 98,sababu waliwahi kudukua mawasiliano yake kidogo wamdake!inasemekana wakati yale wa tukio la 9/11(kulipuliwa majengo ya marekani) yanatokea
OSAMA alikuwa yuko afghanistan milimani uko ndani ndani
asingeweza kucoordinate tukio kubwa la aina lile.Ndio maana kuna story mingi kuhusu nanimhusika tho official statement mhusika ni OSAMA.Sasa Baada ya matukio ya 9/11 presha ilikuwa kubwa juu sana kutafuta sababu
Na kwanini hili lilitokea bila wao kujua na baada vifo vingi kutokea kwenye ile milipuko.Viongozi na aliyekua raisi wa kipindi kile George W Bush akahoji ilikuwaje watu wanaingia na kulipua Nchi tajiri na yenye Nguvu kuliko zote duniani? swali likaja
ina maana hawa majasusi na OSAMA hawakuwa wanawasiliana? mbona mitambo yao(Marekani) ilishindwa kuhisi wala kugundua
mapema tukio hili,maswali na lawana zikawa nyingi mwisho ukafikiwa muafaka itengenezwe technolojia itakayoweza kumchunguza na kumdukua kila mtu popote duniani
so surveillance became for everybody na sio wale waliohisiwa so surveillance became for everybody na sio wale waliohisiwa
vibaya tu.Kuanzia mwaka 2002 the NSA na CIA wakishirikiana na makampuni kama Google,
Fb,Yahoo,Microsoft wakaanzisha program hii na makampuni hayo
ni baadhi kati ya walioyatumia kucollect data za watu duniani kote, mind you hapa tunazungumzia personal data na lile privacy policy ambayo iko kwenye katiba
Ikawaje? #PichaLinaendelea

Loading suggestions...