Madinidotcom
Madinidotcom

@madinidotcom

24 Tweets 3 reads Dec 08, 2022
CORONA VIRUS NI KAZI YA MAABARA? WHY CHINA?
.......1978 KUELEKEA 80 Serikali ya China ilinyoosha mikono juu rasmi ‘mwendo wa mateka’, na ikaamua kubinafsisha sekta ya kilimo na ufugaji.
audiomack.com
Ikawa Hashtag Kila mtu ajetegemee. serikali ikasema "Hapa story tu,baharia utakula kwenu".Hapa zikaanza ile KAULI maarufu ya ‘Survival of the fittest’ kwa kibongo tunasema "mwenye kisu kikali ndo atayekula nyama". Zile biashara maarufu zote walichukua wenye hela mfano...
NYAMA ZA NGURUWE, KUKU, NGOMBE,MAHINDI n.k na maskini ikabidi waanze kufuga wanyama
wa porini,si unajua tena nyama hailimwi shambani.
So kwa mwanzoni, wanyama wa kufugwa wanaoliwa kama KOBE,NYOKA,POPO,PANYA na wengine walianza kufugwa nyumbani kwa wakulima wadogo wadogo
tukiongea KIBAKITA ZAIDI tunaita zile kaya maskini .waswahili wanasema ‘’Njaa mwalimu’’! .
BREAKING NEWS,kwasababu IDADI YA WATU MASKINI wafugaji ndio walikuwa wengi means walifuga wanyama wengi zaidi na mtaani vitoweo vya NYOKA, KOBE,POPO n.k vikawa vya kushato na kushika soko.
Soko lilipokuwa kubwa
huku serikali ikiwa kwenye hali mbaya kiuchumi wakaona kumbe ‘’ Mambo iko huku’’ Serikali ya ikaanza kuwahimiza wananchi kufuga chochote wanachohisi kitawaletea faida
audiomack.com
iwe kuku,nyoka,bata,mjusi,panya
au chochote ambacho mwananchi anajua kitamtoa kwenye umasikini basi afuge, auze,ale.LIKAACHIWA
SOKO HURU na OFISHO . Fuga, Uza,Kula. Mwaka 1988 China ILIPITISHA sheria ‘Protection of wildlife’ yaani wanalinda haki za wanyamapori ikisema ‘’
wahuni wote mtambue from now on kilimo ni mali yenu ila wanyama pori ni mali ya serikali’’. lakini ikaendelea kusisitiza wananchi kufuga kwa wingi wanyama hao, hapa sasa INDUSTRY YA WANYAMA PORI KUUZWA ikazaliwa rasmi.Kama unavyoona Tanzania ya viwanda inavyosisitizwa na ANKALI
JPM(R.I.P) ,sasa kule wafugaji wadogowadogo waligeuka wenye viwanda vidogo vidogo vya kufuga
na kuuza hao wanyama, kwasababu waliruhusiwa kufuga chchte cha porini,wakaongezeka idadi ya wanyama,MBWA mwitu,
panya,tausi,mijusi,bata mzinga n.k wote hawa wakawa wanauzwa pote China.
Ukumbuke hapa watu waneshajenga mazoea ya kula wanyama hao na soko ni uhakika.
Hamu ikaongezeka,ikazalisha kichaka cha soko haramu la wanyama pori DUNIANI,wanyama kama CHUI,FARU na KAKA KUONA wakaingizwa kwenye list ya supu.Huyu 'kakakuona' ndo ambaye leo tunaambiwa amepokea
'ujumbe' wa CORONA VIRUS kutoka kwa mwenzake POPO akatulia nao 'KIMYA' Ndani ya TENGA safarini kuelekea kwenye machinjio ya WUAN ,wateja wakajua wamepata supu ya
motomoto kama siku zote, kilichoendelea baada ya hapo, Mrblue anasema “habari anazo mpiga picha’’
leo tunasalimiana kwa miguu dunia nzima.Huku wanasema Chanjo imefika #UjanjaKuchanja,wale wengine wanasema USITUAMBIEivoSisi...
Mpaka miaka ya 2000 SOKO la nyama china lilikuwa limejaa wanyama pori kama Chui,kaka kuona ,faru n.k na km utakumbuka mataifa mengi miaka hii yalikuwa
yanapambana na UJANGILI ikiwemo 🇹🇿 .Soko kubwa lilikuwa china.kama ni mfutiliaji NEWS utakuwa ‘ushakutanaga’ na hizi story, na hata kuna Yule mama alikamatwa Tanzania anaitwa MALKIA WA PEMBE ZA NDOVU naye anatoka china.
audiomack.com
Kwahiyo watu waliendelea ‘kujinoma’ na nyama pori mpaka BREAKING NEWS mwaka
2002 .Ndipo IKATANGAZWA kuibuka dada yake CORONA,virusi aina ya SARS na watu 1,400 wakaambukizwa ndani ya china, mwaka 2003 wakagundua chanzo ni soko moja lililopo jimbo la GUANGDONG KUSINI MWA CHINA.
Ni kama LINDI au MTWARA yao.Walisema mnyama aliyeweza kubeba hawa virusi ni Civet cat (kwa kiswahili anaitwa NGAWA au PAKA WA ZABADI sijui kama tunamfahamu huyu mnyama ila ni
jamii ya PAKA.Ukigoogle hilo jina utaona alivyo.
SO CHINA WAKAFUNGA HAYO MACHINJIO na kupiga marufuku ufugaji wa wanyama pori kwa muda .Inaonekana nyama na supu ya popoz ni tamu maana mwezi wa 8 mwaka huo huo 2003 wakaruhusu tena wanyama husika kufugwa.Mpaka kufikia mwaka 2004 industry ya nyama pori ilifikia thamani ya Yuan
za china BILION 1 tukiichange hiyo hela kinyumbaninyumbani za pato la taifa .Wanasema kama haileti hela basi haimake sense,lakini kwasababu industry ya vitoweo pori iliBOOM kwenye soko,IKA MAKE SENSE serikali ya china iliruhusu ufugaji na uuzaji wa nyama pori huku UJANGILI
ukizidi duniani.Kwasababu soko lilikuwepo china la watu billion 1 point kadhaa.Mpaka 2016 serikali ya China ilipoamua kupiga marufuku uuzaji na ufugaji wa CHUI,KAKA KUONA na
FARU ambao walikuwa wanatishia kutoweka.Hii ilisaidia sana wanyama pori kupona.
LAKINI ambao hawakutajwa kwenye list,waliendelea kupita kwenye sufuria na sahani za SUPU.
Mpaka mwaka 2018 soko la ufugaji na biashara ya wanyama pori China lilikuwa yuan bilioni 148 (kibongobongo ni bajeti nzima. Kwanini biashara hii haikufa inazidi kuhit?Ni kwasababu moja.
Wakati wote na miaka yote hiyo waliyoruhusiwa kudamshi na supu na michuzi ya POPOZ, NYOKAZ, PANYAZ, KENGEZ n.k kulikuwa na matangazo na promo ‘KABAMBE’ za kila mahali juu ya nyama hizo zinavyoupa nguvu mwili,kutibu matatizo ya uzazi na kinga dhidi ya
magonjwa mbalimbali.
ukumbuke biashara ikishaingia popote,chochote kinaweza kuwa chochote ili mradi kiuzwe.
So wananchi walishasisitizwa miaka kibao kula popoz,imagine leo hii tuambiwe mchuzi wa PWEZA STOP! Na pweza hatakiwi kuliwa tena! Ukikutwa na Alkadusu au supu ya pweza jela😁 ITAKUWAJE?
ndicho upate picha hiyo kuhusu China.Ujue China utalii wao hawategemei kukuonyesha wanyama ?wao wanachokijenga tu utataka ukione,tamaduni zao kama watu n.k so 'KIMSINGI' wanyama pori wanawatazama kwa jicho ya 'kitoweo' zaidi kuliko jicho la kitalii.
GEOGRAPHY IS a DESTINATION MY FRENDI.Ungezaliwa china kwa ndugu zake mtumishi MUNA LOVE ungekula POPOZ tu!Na INCASE YU DONT KNO sio wachina wote wanakula hao wanyama kwasababu nyama za porini ni bei ghali zaidi so Ni msosi wa watu wenye uwezo kifedha.Ukijifanya huelewi nikupe
mfano wa huku bongo,Kuku wa kienyeji na mayai yake wanafuga watu wa uchumi wa kawaida au chini lakini ndo tuna msemo wetu “ukikuta maskini anakula kuku, ujue mmoja wapo ni mgonjwa,yeye au huyo kuku”. Ni the same theory na china!
So industry ya Nyamapori ilikuwa na pesa nyingi kwasababu china ina watu wengi na ni nchi tajiri ,wana order za kutosha lakini sasa ndo hivyo wanatuletea magonjwa ya ajabu ajabu na hatuwezi kuwazingua
kwamba "
Story kamili inapatikana jijini Youtube youtu.be

Loading suggestions...