Madinidotcom
Madinidotcom

@madinidotcom

13 Tweets 3 reads Dec 08, 2022
KWANINI URUSI AMEICHUKUA CRIMEA??.UTAJIULIZA why crimea?
Well ,Hii KREMIA kamaKREMIA ni PENUNSULA yaani ukisikia PENUN-SULA ni eneo la ardhi ambalo limezungukwa na maji sehemu zote isipokuwa upande mmoja ambao limeshikana na ardhi,
audiomack.com
so hii peninsula ipo kwenye BAHARI NYEUSI maarufu BLACK SEA .Wala maji yake sio meusi kivile so jina lisikuchanganye.
Kule kwao watu weusi waliishi kaskazini so bahari ya kaskazini mwao waliita BLACK SEA na kusini waliishi wazungu wekundu so ndo unaskiaga RED SEA
haimaanishi maji ni mekundu. Black ni NORTH na RED ni south, kama hujaelewa sana wala isikuchoshe,ichukulie kama jina,ni bahari ipo katikati mwa ulaya na Asia .Hii Creamia ilikuwa sehemu ya URUSI yaani wao ndio waliikomboa enzi hizo wanajitanua
audiomack.com
MWAKA 1954 ALIYEKUWA rais wa UMOJA WA SOVIET wakati huo ANKALI NIKITA KHRUSHCHEV (tamka krush-chev) aliamua kusema CREAMIA iwe sehemu ya UKRAINE kama ishara ya brother hood aliita “brotherly ties(tamka bradhali taiz) between the Ukrainian & Russian people”
kwa maneno mengine CREMIA ilitolewa kama SIMU ya kuhonga mchepuko baada ya UKRAINE kumwaga UNO la kimakonde,kwa TEKNOLOJIA YA NYUKLIA, MABOMBA YA MAFUTA YA NAYOPITA,UTALII Na mengineyo kibao.
Wakati rais Nikita anafanya haya makabidhiano,
Cremia na Ukraine zilikuwa sehemu ya taifa moja USSR so haikuwa na impact yoyote ni kama tunavyogawa mikoa na kuhamisha wilaya hii kuweka mkoa nyingine. 1991 Ukraine ilivyojitangazia uhuru baada ya USSR kuvunjika CREMIA ikajiunga nao.
audiomack.com
Although ilileta shida kidogo kwasababu kambi za jeshi la Russia zilikuwa Cremia plus makombora na ghala za silaha zilikuwa Ukraine kama haujui hawa waliishi miaka 70 kama taifa moja.
So CREMIA ikatengwa kama KANDA MAALUM ambapo kambi za jeshi la urusi ziliruhusiwa kubaki hapo
lkn wakakubaliana kuheshimu sheria na uhuru wa Cremia kama eneo huru la UKRAINE.
Kweli waliheshimiana hadi 2014 wakati rais victor alipotoa boko akajiuzulu na watu zaidi ya 100 wakafa kwenye maandamano, UKRAINE ikarudi upande wa marais walioside na ulaya. audiomack.com
Ndipo wanajeshi wa Urusi waliokuwa Cremia wakazingira ofisi zote na majengo ya serikali na kifupi ulikuwa wakati wa kuibeba iPHONE yao maana mwali mwenyewe kaponyoka.
audiomack.com
Kila mahali wakatanda wahuni wenye MIJEGEJE,ukumbuke walikua wanaishi kambi za hapo so hata wao labda wameoa, wanafamilia,wameishi kama home kwasababu utengano ulikua kisiasa tu.
Mvutano uliendelea URUSI ikilalamikiwa kuiteka CREMIA kisa kibaraka wao kaondolewa,
ikabidi kuitishwa kura ya maoni ili wananchi wa Cremia waamue wenyewe kwasababu kulishakuwepo taarifa za wana cremia kusema hawajawahi kutaka kuwa UKRAINE.March 2014 ndo ikapigwa kura ya maoni na ikaonekana MATOKEO yalivyotoka waliosema hawataki shobo na ulaya wameshinda.
utauliza Je?kura zilikuwa za kweli?
well INATEGEMEA NTU NA NTU ,maana kama NTU mwenyewe ni Puttin alisema ulikuwa mchakato huru n wa haki lkn upande mwingine wa dunia wakati huo BARAKA OBAMA alisema PUTTIN WEWE NI MUHUNI kama wahuni wengine. So Cremia ikawa imechukuliwa hivyo
Then operesheni tokomeza MABEBERU chini ya Zee la Mipango ankali PUTI kama PUTINI ikahamia eneo jingine mashariki mwa UKRAINE,linafahamika kama DONBASS.Hili ni eneo la mapigano ambalo ni mpaka wa maeneo mawili ya DONESKI na LUHANSKY ambayo ndiyo mzozo huu tuliona ulianzia.

Loading suggestions...