N.b wanaoitwa wamarekani kwa sasa,walitokea ulaya so #GameOfThrone ni km iliongelea historia ya wamarekani wa sasa pia. Wamarekani wazawa asilia wa Marekani kaskazini ya sasa (Usa) kwa sasa wanawaita NATIVE AMERICANS (Wahindi wekundu) wanaojiita Americans wa sasa,
Kwanini mjomba alimficha na kujifanya Baba wa kambo? Sio lengo la story yetu,#trustory huyu jamaa alikuja akajikuta maisha yameenda akawa kiongozi mkuu wa watu wake katika enzi za Vita dhidi ya jeshi la Wafu(Army of the dead).Wakati taarifa zinafika ni kipindi ambacho binadamu
Then bi #Khaleesi ambaye matendo yake ya mwanzoni yalitofautiana kabisa na Background yake halisi, ni mwanamfalme wa kike ambaye alisafiri kutoka mji wa MBALI alipouzwa kuolewa akiwa dogo,na wakati anapita kila taifa alianza KUFREE WAFUNGWA,kusaidia watu walioteswa na viongozi
wa mataifa yao ,ukumbuke ilikua Medieval age ambapo ustaarabu wa watu ulikuwa chini sana ,hasa ulaya, UBAKAJI,MAUAJI,na UBABE ndo ilikua Sifa kuu ya survive haijalishi wewe ni mwema au mbaya. So #Khaleesi matendo yake tangu mwanzo yalikuwa mazuri sana,
MATENDO yake hata kwenye maisha ya kawaida.#JonSnow aliwahi kupigwa visu na kuuawa na watu wake mwenyewe, waliompenda sana kwasababu ya MATENDO YAKE, hawakuwa wanaona NIA YAKE.Kama ujuavyo NIA YA MTU ni kitu cha NDANI SANA.iwe nzuri au mbaya.
Moja ya makosa ya kimatendo aliyofanya #JONSNOW ,kuna jamii ya watu walioishi porini waliitwa Free Folk, or wildlings, Hawa jamaa hawakuwahi kutawaliwa wala kufata sheria za utawala wowote, walikuwa maadui na jamii anayoiongoza JOHN,na miezi michache nyuma,
anaongea na kutenda mazuri gani,lakini kujua NIA YAKE lazima kuangalia endapo ana LOGIC ya kihistoria inayomfanya kufanya huo WEMA.Hili tunajifunza kwa Bi #Khaleesi ambaye matendo yake YALITUKUKA na alisema anataka kwenda kukomboa ufalme na kuweka usawa,
lakini HISTORIA YAKE haikuwa na LOGIC yoyote ya kwanini alifanya yale.Kivipi?
Khaleesi historia yake ni mtoto wa mtawala wa aliyeitwa MFALME KICHAA(the #MADKING) ambaye hakuonyeshwa kwenye series,ila enzi zake alimiliki viumbe wakubwa waitwao DRAGONS ambao waliogopwa
Khaleesi historia yake ni mtoto wa mtawala wa aliyeitwa MFALME KICHAA(the #MADKING) ambaye hakuonyeshwa kwenye series,ila enzi zake alimiliki viumbe wakubwa waitwao DRAGONS ambao waliogopwa
So alishikilia na kutawala FALME 7 Kwa miaka yote na alikuwa mshenzi wa kutupwa.Miaka ilienda watu wakajipanga akapigwa chini na madragon yake yakauawa so akapoteza yote na akafa kifo cha aibu.Hakuna aliyempenda yeye wala kizazi chake. So #Khaleesi anatokea kwa huyu mzee na
Loading suggestions...