Madinidotcom
Madinidotcom

@madinidotcom

9 Tweets 3 reads Dec 08, 2022
Wakati unajiuliza Vita ya Urusi na Ukraine itaisha lini hizi hapa ndio demands 3 alizitoa Rais Putin ili asiivamie Ukraine.🧵
Alisema nina mambo 3 nataka myatekeleza CHAP kwa Haraka na sitaki kelele wala mjadala”
Kwanza NATO MUUNGANO WA KIJESHI wa nchi 30, I stop kujitanua mashariki mwa ulaya.
Yaani NO MORE MEMBAZ. Na hapa ndo Ukraine inaingia, Nitakuelezea vizuri kuhusu NATO na kwanini Puttin aliweka hii Demand namba 1.
Then DEMAND namba 2 akasema
NATO iondoe majeshi na shughuli zote za kijeshi kwenye zile nchi ambazo zilikuwa sehemu ya UMOJA WA SOVIET .Jumla ya hizi nchi ni 15 Russia ikiwemo.Nyingine hujawahi kuziskia ni Russia, Ukraine,Armenia, Azerbaijan, Belarus, Estonia, Georgia
Kazakh-stan, Kyrgyzstan(kijiz-stan), Latvia, Lithuania, Moldova, , Tajikistan, Turkmenistan(tak-men-stan) ,na Uzbeki-stan .
Humu kwenye hizi nchi tayari zilishajiunga na NATO nyingine,na majeshi ya umoja huo yakiwemo ya marekani yapo.Puttin anasema “Mnanijazia nzi”.
Kabla hawajamuuliza kama “Puttin una wazimu?”
akawaongezea demand namba 3 kwamba anataka Marekani ikubali na kuapa kwamba haitawapa teknolojia ya Nyuklia nchi hizo za ulaya mashariki.Kifupi hayo ndo mambo ambayo Puttin mwenyewe alisema YANAMSAFOKETI ,
yanamchefua,hapendi kuyatia machoni pake.
Ukumbuke Puttin ameshawahi kuleta mjadala akitaka wao na marekani waziharibu silaha za Plotonium na nyingine za nyuklia walizonazo kwasabab ni za maangamizi, wakakubaliana hadi mwaka wa kutekeleza lakini serikali ya Marekani ubabaishaji
ukawa mwingi mchongo ukafeli.Hii mara zote Puttin anaona kama Marekani ni mnafiki kuhusu Amani ya dunia huku anasogeza Majeshi karibu na sisi.
Kabla hajafanya hiki alichofanya, wengi waliona anatania kwasabab demand zote hizo 3 ni ngumu kutekelezeka,na yeye akawambia wazi msipotekeleza hayo KINAUMANA na HAMTAAMINI.
Story kamili inapatikana Audiomack sogea hapa kuiskiliza
audiomack.com

Loading suggestions...