Madinidotcom
Madinidotcom

@madinidotcom

5 Tweets 6 reads Dec 08, 2022
ELON MUSK ANA PLAN GANI NA SISI?#PichaLinaanza
#ElonMUSK ni jina tulilokutajia kitambo,YES kama ulifuatilia Episode ya MBIO ZA ANGA ZA JUU youtu.be , ndipo tulikutana na jina hili ELON MUSK.Picha linaanza jina hili limekuwa TOPIC duniani.
baada ya kununua moja ya kampuni kubwa za social media duniani Twitter.Kumzungumzia huyu mwamba kuna angle nyingi kwasababu yeye mwenyewe kama mtu, vituko na vimbwanga vyake ni story inayojitegemea na ukija kwenye projects zake vs athari zake kwa dunia ni issue nyingine.
Kumuelezea Elon pia itaturudisha kwenye episodes zetu kadhaa za nyuma tulizowahi kukwambia kuhusu project anazoendesha duniani.Lakini kwanza wanasema mchuzi wa mbwa sharti kunyweka wa moto moto,tutaanza na hili dili la TWITA kwa lugha simpo ujue nini kilitokea na kivipi?
Maswali yako mengi yatajibiwa kuhusu kinachoendelea.Usikose @earadiofm jumamosi hii saa 9alasiri hadi 10jioni .
Vitabu vyetu 2 vyenye story zote za #PichaLinaanza vinapatikana softcopy tsh.10k .Whats app 071276027602
Asante kwa kutusapoti.

Loading suggestions...