Madinidotcom
Madinidotcom

@madinidotcom

6 Tweets 4 reads Dec 08, 2022
HAITI KIMEUMANA.
Kule Haiti taifa la kwanza la mtu mweusi kujitangazia uhuru ni kama KIMEUMANA tena bwana, maelfu ya raia wameingia mtaani wakishinikiza Waziri Mkuu Ariel Henry kujiuzulu
Ikumbukwe ni takribani mwaka mmoja sasa umepita tangu aliyekuwa Rais wa taifa hili
Jovenel Moise kuuawa tulikuletea hapa youtu.be ambapo baadae ndg. Ariel Henry alikuja kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa muda wa taifa hili .
Sasa sababu hasa zinazotajwa kuwafanya raia wa taifa hilo kuamua kuingia barabarani ni mfumuko mkubwa wa bei na hali mbaya
ya kiuchumi ambayo taifa hilo limeendelea kuwa nayo.
Pamoja na hayo, waandamanaji pia wanaonekana kupinga influence ambayo MAREKAN ameendelea kuwa nayo ndani ya taifa lao.
Ujue baada ya tukio lla kuuawa kwa Rais Juvenel Moise hali ya kiusalama ndani ya HAITI ilikuwa ni mbaya mno
Kuona hivi ndipo jamaa wa MAREKANI wakasema "Hebu nyie watoto tulieni kwanza, sisi ni wazoefu wa hizi mambo mjue na tunawafahamu vizuri ndugu zetu nyinyi" 😂
So kilichofanyika ni jamaa kuamua kutoa order yaaaniiii kwamba 🗣
"Hebu wewe ARIEL HENRY kuja ukae hapa na yeyote atakayeleta fyokofyoko YOU JUST NEED TO PRESS THAT DIAL" ikaisha hivyo 😎
Kuona hivi raia nazo zikakaa chini na kuamua kuunganisha nguvu, Hashtag ikawa ni 'RISE UP FOR ANOTHER INDEPENDENCE'
kujua nini kilijiri hadi kuuawa kwa rais geto kwake.Click hapa youtu.be
Tulikuahidi #TaarifaNaMaarifa
By @sabulamaarifa

Loading suggestions...