Madinidotcom
Madinidotcom

@madinidotcom

24 Tweets 2 reads Dec 08, 2022
The leak🔥
December 1st 2012 Snowden alimtafuta mwandishi wa gazeti la the Guardian Uingereza Glenn Greenwald kwa jina feki la (cincinnatus), akamwambia ana
documents very sensitive ambazo angependa kushare nae. Glenn anasema
"alinitafuta akaniambia anainformation lakini kulikua na procedure nyingi sana, aliniambia innstall program kwenye computer yangu ambayo itazuia kudukuliwa"
lmagine mtu anakupigia anakutumia msg kwamba ana kitu cha msingi sana anataka kukwambia ila inabidi ufanye mambo kadhaa…
lazima utahisi ndo walewale “tuma kwa namba hii” So akampuuzia nakuendelea na kazi zingine sababu process zilikua ndefu na zingine sababu process zilikua ndefu na hakua na muda,Snowden hakukataa tamaa akaamua kumtafuta mwandishi wa
kimarekani na muandika makala wa gazeti la
New york times Laura poiteas,
ambae alikua na urafiki mkubwa na Glenn Greenwald, akamwambia ananyaraka za siri anataka kumpa ila sharti lake ilikua Laura amshawishi Glenn Greenwald
kuongea nae.
Mtajiuliza kwanini hakwenda kwa mwandishi mwingine kwanini alimng'ang'ania huyu Glenn Greenwald. Greenwald alishawahi kufanya makala kuhusu WILLIAM
BINNEY( Mvujisha siri mwingine)
lakini pia THOMAS A. DRAKE ambae alikua Director wa NSA(idara ya usalama wa taifa marekani)
miaka ya 2000, akavujisha
nyaraka za siri za serikali ya marekani kuhusu TRAIL BRAIZZING PROJECT (story ya
siku nyingine) Kwahiyo THOMAS alifanya ambacho yeye(snowden) alitaka kukifanya na aliipenda makala iliyoandikwa na Glenn kwasababu ilisifia hawa watu na kuwapa
heshima waliyostahili na hiyo alijua kuwa Glenn ndio mtu sahihi.
Laura akamtafuta Glenn actually alimfuata London na akaongea nae kuhusu Snowden, Glenn na Laura walijuana muda mrefu na kama waandishi walishafanya
kazi sana pamoja so haikua kazi ngumu Laura kumshawishi
Glenn Greenwald kukubali .
Mawasiliano kati ya Snowden na Glenn yakaanza upya baada ya kumpotezea mwanzo, waliongea kutumia encrypted emails(sio rahisi kuhack) walizoziita jina Verax
Glenn anasema Snowden alijua huu ndo utakua mwisho wa maisha yake na alikuwa na miaka 27 tu. Alisema" najua na naelewa kwamba nitateseka sababu ya
maamuzi yangu haya pamoja na matendo haya, kurudisha taarifa hizi kwa raia wa kawaida ili wajue kinachoendelea utakua ndo mwanzo
wa mwisho wangu ila
nisipofanya hivii pia nafsi yangu haitaniacha". ilipofika may 2013 Snowden aliomba likizo ya Ugonjwa kutoka Booz allen Hawaii,
alisema anaenda kutibiwa epilepsy ( ugongwa ambao mama ake aliugua pia) na akamuaga mchumba wake
alikuwa chumbani na manzi yake(mchumba)wa tangu kitambo LINDSAY MILLS aliyekua anajiandaa kwenda na mashosti zake kula bata la weekend bila
kujua mwenzake kichwani alipanga tukio ambalo lingebadili kila kitu kwenye maisha yao.akamwambia
“I might not be here when you get back’’(ukirudi unaweza usinikute hapa) .Sidhani kama bi dada alielewa mhuni anachomwambia. We all know,ukiwa umemzoea mtu,siku akiwa hana mizuka au
mood yake ipo tofauti lazima utamgundua.kwa siku kadhaa, Lindsay anasema nilimwangalia tuu
kwasababu hatukua sawa, “we were struggling” mahusiano yao yalikua na tatizo ambalo yeye binafsi hakua analijua,walienda visiwa vya HAWAII kula bata lakini jamaa bado akawa hayupo kabisa kwenye mood.Ndugu yenu hapa ndo alikuwa anapanga kuvujisha clip .
kwa mnaoelewa kidhungu anasema " i have known him for a very long time i have known him for a very long time i have never seen Edward like this, he was tense and always frustrated constantly
stressed, and I mean we were in hawii, it was supposed to be a turn up but he was...
always out of it like disconnected".
Wakati anaambiwa ‘Ukirudi inawezekana usinikute’ hakuwa anaelewa kwamba maisha yao yatabalika sana na kwamba watakapokutana tena huyu mwanaume wake, atakua THE EDWARD SNOWDEN
Mwamba ambaye anahusika na
UVUJISHAJI wa siri nzito kuwahi kuvuja kwenye historia ya marekani!
alimwambia
Glenn " all i can say right now is that the US government is not going to be able to cover up by jailing or murdering me, the truth is coming and it cannot be
stopped"
Akapanda ndege pale Honolulu airport Hawaii kuelekea Hongkong na ilikua ni tarehe 20 May, akafikia hoteli inayoitwa The Mira hotel iliyopo katikati ya mji wenye watu wengi zaidi duniani na wenye activities nyingi sana.
Alikaa wiki mbili na toka afike alitoka nje ya chumba chake
mara tatu tu , anasema alikua anasort data alizozichukua na inasemekana alichukua nyaraka million 1.7 za siri za Serikali ya marekani, uingereza, canada na Australia, na alifanikiwa kichukua nyaraka nyingi hivi sababu akiwa kazini aliaminika sana akiwa ni
mfanyakazi pekee
aliyeruhusiwa kutembea na flash. Pia inasemekana alishawishi wafanyakazi wenzie 20 - 25 wampe password zao za kikazi, na akaingia kwenye system kwa majina 25 tofauti na kukopy nyaraka kwa wingi alivyoweza. so akiwa hotelini mzee baba alikua na kazi ya kupanga na kuzigawa zile
anasema alipitia na kusoma nyaraka moja moja ili apunguze
madhara yanayoweza kuikuta USA baada ya kuvujisha information hizo.Nia yake ilikua ni kutoa ukweli kwa wananchi na sio kuiumiza USA km taifa.Alizipanga in categories na kujua ni nyaraka gani kati ya zile atavujisha
alimtafuta Glenn Greenwald tena na kumpa maelekezo kwamba apande ndege kwenda Hong Kong, na ili kumuoneyesha yupo serious na mchongo,akamtumia vinyaraka
vidogo na walivyoziona fasta Glen, Laura na mfanyakazi wa the guardian mwengine walikua kwenye ndege kuelekea Hong kong.
Walikubaliana wakutane apo Mira hotel na UKUMBUKE hawa waandishi hawakua wanamjua Snowden kwa sura, hivyo aliwaambia watamtambua sababu atakua ameshika a rubix cube (puzzle cube) Walipofika walikaa siku ya kwanza wakamsubiri sana Snowden hakutokea, kesho
yake wakakubaliana
wakutane tena pale pale the mira hotel.Hapa blaza alitumia
ile mbinu maarufu ya mabaharia, unapoenda kukutana face to face na CLIENTS mpya ambaye mmekutana online so inabidi umwambie akae sehemu flani alafu
ww unakaa opposite side kusoma upepo,JE?ANAELEWEKA?
Skia sasa full story inapatikana kwenye Audiomack search "STORY YA EDWARD SNOWDEN" au Kwenye kitabu chetu cha Episodes 50 za madinidotcom pia tunapatikana Youtube kama Wazo platform.
#TaarifaNaMaarifa

Loading suggestions...