OSAMA BIN LADEN VS MAREKANI
Anzia post iliyopita
#PichaLinaendelea Osama hakuwa na mafunzo yyte ya kijeshi..lakini alikuwa mstari wa mbele vitani kwenye nchi ISIYO yake 'Kiraia'
kwasababu ya muamko wa kulipigania na kulikomboa taifa la kiislam.

Kupitia kambi yake alikusanya vijana 25'000 kutoka nchi 35
tofauti za ulimwengu wa kiislam
Hapa ndipo umaarufu wake ulianzia kwenye ile VITA.Mara nyingi alisema "Kupigana vita siku 1 afghanistan ni zaidi ya kuswali mara 1000 kwenye msikiti wa kawaida" Akianzia PAKISTAN kambini

upande Mmoja Kuisaidia AFGHANISTAN. So watu wengi huchukua uhusiano huu na kusema
OSAMA alitengenezwa na USA Ukweli ni kwamba,ni ratiba tu ziligongana kumsaidia mzee baba Afghanstan.During this war,Vijana wa Osama walitungua ndege
270 za Russia kwa makombora kutoka Marekani

lakini Kuna kitu ukifahamu kwenye hii vita.KIPI?ni rahisi kukigundua.
Check hii vita ilivyokuwa na SURA ya 'kidini' tena dini ya kiislam zaidi alafu Check haya majina ya waliokuwa wanaisaidia MUJAHIDEEN,kuna SAUDIA ARABIA, UTURUKI PAKISTAN,na kuna U.S.A....?

Unaona kabisa kuna KETE inagoma!Wote hapo wana Maslahi 1 ambayo ni 'DINI yao' lakini yupo mmarekani ambaye sio taifa la kiislam mchongo wake ulikuwa ni KUZUIA UCOMMUNIST wa SOVIET kuenea mashariki ya kati ambapo kuna maslahi yake kibao,ikiwemo SAUDIA.
Inaelezwa Wapiganaji wa kiislam mbalimbali wakiwemo wanao ongozwa na OSAMA walikataa mkufunzi au Msaada wowote kwa watu wao Mujahideen kufundishwa
chochote na wamarekani wakati wa vita. Walihitaji ushkaji wao uwe kwenye silaha tu.

Ukumbuke marekani ilifadhili hii vita kupitia CIA na wanakiri Kweli wakati wanapigana vita walikuwa wana msikia Osama na vikundi vingine vya kujitolea ndani ya afghanistan na walijua ni mtu aliyekua na kiki(ushawishi) na msaada kwenye ile vita lakini hawajawahi kushirikiana naye
kivile Siri Nyingine ya hii vita, PAKISTAN tunayoizungumzia ni nchi ambayo kiramani ipo mpakani na AFGHANISTAN.Ilipatikana baada ya INDIA kujigawa vipande 3 ili kuepusha mgongano wa kidini kati ya wahindu na waislam so INDIA ilijigawa Katikati wakabaki
wakabaki watu wa Dini ya HINDU pakaitwa INDIA ,na waislam wakaamishiwa vipande 2 vilivyo tengwa kusHOTO na kulia.Zote 2 zikaitwa PAKISTAN (EASTpakistan
&WESTpakistan )lakini siku hizi PAKISTAN ya upande wa kulia Waliamua kubadili jina na
kujiita BANGLADESH.

Sasa hii Pakistan iliyobaki kushoto mwa INDIA, ndio inaitenga INDIA
na AFGHANISTAN(Kwenye vita) na hapa ndipo mipango yote ilisukiwa,
na misaada yote iliyoletwa na Marekani na nchi za uarabuni ilisambazwa na serikali ya PAKISTAN.

Ni kama vita iwe inapiganwa SOMALIA na mipango inasukiwa KENYA ,So wao Pakistan ndo
waliamua nani apate nani asipate.
MCHAWI alikuwa hapa.Kumbuka kulikuwa na vikundi vingi vinavyo saidia hii vita.Nilikwambia OSAMA hakusoma nje ya nchi na familia yake ilikua na ushawishi

Serikalini(Kwa familia ya kifalme SAUDIA) so Osama utotoni alikuwa
anacheza 'cha ndimu' na watoto wa familia ya Kifalme ya Saudia. So ile Mizinga iliyoletwa na Marekani aliipata kupitia serikali ya PAKISTAN ambao ni wasambazaji wa
mahitaji ya vita

Baada ya ile vita kufikia mwisho 1989,Soviet wakatimuliwa na wale mujahedeen wakakabishiwa nchina ndo ikaundwa serikali iliyoitwa TALEBAN.OSAMA alirudi SAUDIA
kama shujaa na story kwa kila mwenyeji uarabuni,akawa maarufu sana na ushawishi wake ukazidi kukua.๐ฅณ๐

'MTOTO WA BILIONEA ALIYEACHA KUDAMSHI AKAENDA KUPIGANIA DINI YAKE' Akiwa Saudi Arabia FAMILIA ya kifalme pia ilimpenda sana kwasabab ya urafiki wa
KIHISTORIA lkn kubwa zaidi,alikua 'NGAO' yao dhidi ya kundi lenye msimamo Mkali wa kidini ambao waliiona familia ya kifalme ni๐

vibaraka wa marekani na wnazingua So ukaribu wao na Osama 'anayekubalika kitaa' uliwakinga kiasi flani kwamba ,wote tupo
Pmj BANDUGU!kwasabab Tyr alikuwa na 'DEMAND' kubwa Akaendelea kufanya makongamano na mijadala ya kidini kote Saudia. As you can see waliachana Salama

na Marekani lakini VITA ya Afghanistan ikampa WAFUASI na UZOEFU MKUBWA.Mwaka 1990 ILIKUWA KAMA MOVIEโฆAkaibuka mwamba anaitwa SAADAM HUSEIN Wa IRAQ akaamsha vijana wake
(JESHI) akavamia KUWAIT jirani ya Saudia huku akisema tunaanza na kuwait then BREAK YA KWANZA

ni kwa fwasi ya dwasi AL SAUDIA
mchecheto ukaanza Kwa familia ya kifalme.Hapa ndipo Osama akaibuka kwa washkaji zake na family friend (mfalme wa saudia)
akawaambia ,tayari WANA uzoefu na kuna vijana wale waliopigana Afghanistan wanaweza kupigana dhidi wa IRAQ na hakuna haja

ya kuomba Msaada popote pengine
Osama alikuwa anaona ujio wa nchi
za magharibi KUSAIDIA una athari kwa utamaduni na Dini yao kuliko wakipigana wenyewe.Picha linanoga PRINCE SULTAN ambaye alikuwa waziri wa ulinzi wa Saudia akamwambia๐ฅณ๐๐ฅณ

"Mzee baba hao wapiganaji wako hawana uwezo wa kutukinga na mashambulio ya ANGANI,MAJINI
SILAHA ZA CHEMIKALI wala za kibiolojia,ambazo Sadam anazo kwenye karakana yake.
#UsituambiehivyoSisi.
SIKU moja OSAMA anadaiwa akiwa ofisini kwa Prince wa SAUDIA alisikika akifoka kwa

sauti ya juu akisema "Hakuna uhumimu wowote wa wanajeshi wa marekani". Prince akamuuliza "utatusave vipi na chemical attacks za sadam?" akasema "Tutawashinda kwa imani yetu"
Serikali/familia ya Saudia ikamwambia HELL NAH! hayo si mambo ya kinjekitile ngwale ya risasi kueuka maji

unatuleta bablai? Wakamwambia utakuwa umevuta cha olkokola, wakamuweka kando wakaomba Msaada kwa Marekani. Na ndipo
sasa ikazaliwa GULF WAR.
Sasa baada ya hii vita,Sadam akatimuliwa na ilibidi majeshi ya Marekani yasalie SAUDIA in case Sadam atataka kuliamsha tena.

Utawala wa KIFALME Saudia ukabaki SALAMA lakini tayari OSAMA akawa tishio,kwasabab walipishana kimsimamo lakini kitaa ni shujaa,Mwalimu wa kidini mweny ushawishi mkubwa tena wa kidini.
Wakamwambia akae kwa kutulia other ways wataondoa tenda zote kampuni yao ya UJENZI iliyokuwa

inapata tangu miaka na miaka(enzi za baba yake).Since then ushkaji ukaingia doa, Mwaka mmoja baadaye yaani 1991 akafukuzwa saudia na miaka 3 baadaye
wakatangaza KUFUTA KABISA uraia wake!So Hapa Osama akawa hatambuliki alipozaliwa.

Akakimbilia khartoum SUDAN(Africa) akiwa na wake zake 3 na watoto 13.
Story ni ndefu lakini tutaimaliza lengo ni kukupa #TAARIFANAMAARIFA
Tunaendelea post ijayo
Pia USIKOSE kutuskiliza jumamosi saa 9 alasiri mpk saa 10 joini kupitia @earadiofm

@ManenoIzaak hii ni sehemu ya pili
Loading suggestions...