OSAMA BIN LADEN VS MAREKANI
#PichaLinaendelea sehemu 3
Akapokelewa na kuwa Mwanafunzi wa HASSAN ABFALLAH AL TURABI aliyekuwa kiongozi wa kidini wa Sudan.Huyu ndo anatajwa kumpa OSAMA maujanja Mengi sana
kuanzia kiroho ,network/connections hadi michezo ya kupitisha pesa

za kufadhili michongo yake kisirisiri Akiwa Sudan ndipo ALQAIDA ikaanza,Lengo likabaki palepale
Marekani iondoe jeshi lake mashariki ya kati.Akaacha maisha ya UBILIONEA kula pesa ya mshua kama wenzake akaamua kula sahani moja na Marekani.Hii mizuka
alitoa wapi?
Marekani iondoe jeshi lake mashariki ya kati.Akaacha maisha ya UBILIONEA kula pesa ya mshua kama wenzake akaamua kula sahani moja na Marekani.Hii mizuka
alitoa wapi?
Ili ujue alianzia wapi,Kuna tukio lilitokea la kuuawa tena mbele ya watu, MFALME wa Saudia miaka hiyo KING FAISAL BIN ABDULAZIZ ,alipigwa risasi LIVE
kweupe na mpwa wake FAISAL BIN MUSAID.Hili tukio linahusishwa na vitu vingi lakini kilichotokea NI HIKI..
kweupe na mpwa wake FAISAL BIN MUSAID.Hili tukio linahusishwa na vitu vingi lakini kilichotokea NI HIKI..
Ilikuwa tar 25 march 1975 miaka hyo ndo OSAMA anaanza kugeukia Dini, baada ya bata la Tangu miaka ya 70 Mfalme FAISAL alipigwa risasi na Mtoto wa ndugu yake Faisal bin
Musaid ambaye ndo kwanza alirudi kutoka MAREKANI...ILIKUWAJE?Siku ya tukio prince FAISAL (Aliyeua) alikuwa
Musaid ambaye ndo kwanza alirudi kutoka MAREKANI...ILIKUWAJE?Siku ya tukio prince FAISAL (Aliyeua) alikuwa
akiongea na wawakilishi kutoka KUWAIT waliokuwa eneo la
mapokezi ofisini kumsubiri MFALME
Mfalme alipofika,kama kawaida waarabu husalimiana kwa KISS
(hata kwa wanaume) na mfalme alifika akaanza na NEPHEW wake
'Faisal mwenzake',pale pale jamaa akatoa bastola akamshoot mfalme,

moja shingoni chini ya kidevu na nyingine ikapita sikioni.Fasta bodyguard wa mfalme akachukua jambia/upanga akapeleka kishujaa kwa Faisal muuaji lakini CHA AJABU Ghafla akasia sauti ya ZAKI YAMANI aliyekuwa WAZIRI WA
MAFUTA akishout kwa yule askari "Usimuue prince" imagine
MAFUTA akishout kwa yule askari "Usimuue prince" imagine
ungekuwa wewe ni askari
ungefanyaje? Yaani unamlinda mfalme alafu ndugu yake anampiga risasi na huruhusiwi kumshambulia kwasababu naye ni damu ya kifalme.Usishangae,kumbuka SAUDIA ni utawala wa kifalme so nguvu ni Damu/undugu kuliko madaraka. Wote wanaouana ni

Familia/Ndugu so ni kesi tofauti na mfumo wetu wa serikali za kawaida
Mfalme alifariki muda mchache baada ya kufika hosptalin na Faisal aliyeua muda wote alikuwa karelax kama hajafanya kitu.tho Baadaye walimnyonga.
Mfalme alifariki muda mchache baada ya kufika hosptalin na Faisal aliyeua muda wote alikuwa karelax kama hajafanya kitu.tho Baadaye walimnyonga.
Sikuwa nataka kukiadithia hii lakini Hiki kisa ni moja ya vitu vilianza kugusa Hisia za OSAMA juu ya watu wanaoenda kusoma nje na kurudi na itikadi kinyume cha UTAMADUNI Na DINI YAO.I hope umeshaangalia/kusikia series km TYRANT na visa za tawala za uarabuni,Mara nyingi ni VISASI.
Hata kilichofanya Faisal akamuua mfalme ni 'kulipiza kisasi'.Kwasabab mwaka 1966 huyu mfalme aliruhusu MATANGAZO ya Televison kwa mara ya kwanza nchini saudia!Uamuzi huu uliibua hasira kwa watu wenye msimao Mkali ya kidini ndani ya saudia,maandamano yakaanza na Mmoja wa👇
waliohamasisha maandamano alikuwa KAKA yake huyu FAISAL na Polisi walimuua.Ndicho kisasi chenyewe kilichofanya aje kumuua mfalme.Mbali na hili Kuna role model wa OSAMA kidini na kimisimamo ,Mzee wa kazi
RUHOLLAH MUSAVI KHOMEIN ingawa media za magharibi zimembrand anafahamika
RUHOLLAH MUSAVI KHOMEIN ingawa media za magharibi zimembrand anafahamika
Zaidi AYATOLLAH KHOMEIN wa IRAN.Marekani ilikua na ushawishi mkubwa MASHARIKI ya kati ikiweno IRAN ,KABLA ya huyu Ayatollah Mwalimu wa kidini mwenye msimamo mkali ,kuibuka 1979 na kumng'oa kinguvu SHAH aliyekuwa kibaraka wa USA na kusimika utawala wa KIISLAM IRAN.
Story hii tulikupa episode iliyopita kuhusu IRAN vs SAUDIA Kitendo hicho kilizidi kumpa nguvu OSAMA kwamba siku moja hata nchini kwake SAUDIA inawezekana,Saudia na IRAN zimetenganishwa na maji tu kwa sehemu kubwa. Na miaka mingi marekani walikuwa na ushawishi mashariki ya kati
na issue ya 'DOLA LA KIISLAM' sio kitu wanasapoti sana. So Osama aliamini kama MAREKANI na
utamaduni wao wameondolewa IRAN itashindiakanaje SAUDIA? baadaye alizidi kutanua UWANDA na kusambaza harakati ake worldwide na akaanza kuwalenga marekani Popote walipo.
utamaduni wao wameondolewa IRAN itashindiakanaje SAUDIA? baadaye alizidi kutanua UWANDA na kusambaza harakati ake worldwide na akaanza kuwalenga marekani Popote walipo.
Mashambulio ya balozi za marekani Tanzania na Kenya 1998 yanatajwa kua moja wapo ya visa vya Osama ingawa alikanusha kuhusika nayo ,lakini since hapo alikua
akihama huku na kule,akirekodi Clip za kuhamasisha wafuasi wake popote walipo na yaliyoendelea hapo nadhani mnayajua.
akihama huku na kule,akirekodi Clip za kuhamasisha wafuasi wake popote walipo na yaliyoendelea hapo nadhani mnayajua.
Wengi tulimfahamu OSAMA baada ya tukio la September 11 nchini marekani lakini kabla ya hapo yalikuwepo matukio yake mengi
baada ya kuondoka SAUDIA na baada ya sudan kubanwa sana,ndo wakamwambia
baada ya kuondoka SAUDIA na baada ya sudan kubanwa sana,ndo wakamwambia
aondoke na akakimbilia kwenye nchi aliyowahi kuisaidia ambayo ni AFGHANISTAN kuungana na wanawe wa kitambo MUJAHEDEEN ambao wakati huo walikuwa serikali
rasmi iliyoitwa TALEBAN.Akiwa huko ndipo tukio la septermber 11 likatokea na kikundi chake kuhishwa nacho na serikali ya
rasmi iliyoitwa TALEBAN.Akiwa huko ndipo tukio la septermber 11 likatokea na kikundi chake kuhishwa nacho na serikali ya
teleban ikatakiwa imkabidhi OSAMA kwa USA na kwa story niliyokueleza ya Osama unaweza kuelewa kwanini TALEBAN waligoma kumkabidhi osama kwa
marekani,kwasabab kwao alikuwa mtu aliyewahi kuwapigania kwa nguvu zake zote bila kuwa na maslahi yoyote zaidi ya dini.
marekani,kwasabab kwao alikuwa mtu aliyewahi kuwapigania kwa nguvu zake zote bila kuwa na maslahi yoyote zaidi ya dini.
Kilichotokea baada ya hapo ni mabovu na bunduki na kuzaliwa rasmi VITA DHIDI YA UGAIDI ambayo hadi sasa inachukua sura mpya kila mwaka.Umepata full story sasa na unaweza kuunganisha madesa vizuri,ndicho huwa tunafanya
na hakikisha unafuatilia SCENE zetu zote online kupitia audiomack,kama ulivyoona
matukio yanaungana so ukipita kwenye account yetu audiomack utaweza kuzisikilzia zote na ukashare na wengine.TAARIFA NA MAARIFA,Hii ni madinidotcom
~MWISHO~
matukio yanaungana so ukipita kwenye account yetu audiomack utaweza kuzisikilzia zote na ukashare na wengine.TAARIFA NA MAARIFA,Hii ni madinidotcom
~MWISHO~
Hii ni sehemu ya kwanza km ulipitwa.
Hii ni sehemu ya pili kama ulipitwa
Loading suggestions...